Rushwa Tanzania Imehalalishwa? JF Naomba maoni yenu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rushwa Tanzania Imehalalishwa? JF Naomba maoni yenu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Aug 4, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jamani, ni nani anaweza kunitajia taasisi moja tu ambayo haijakithiri rushwa? Nimeudhika sana na hawa askari wa Tigo maana wanapihga rushwa hadharani kama vile hakuna serikali. Ni afadhali serikali ya mkoloni haikuwa na rushwa kama sasa. Wana JF, hivi tufanyeje kama jamii tupambane na hili tatizo?
   
Loading...