Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
Huu ugonjwa wa rushwa sasa unaonekana umejichimbia hata ngazi ya chini ni suala sugu sasa. Hizi wiki mbili Rais amekuwa kwenye ziara mikoa ya kusini ila unaona kila anaposimama kuna madudu yanaibuliwa ni rushwa juu ya rushwa.
Waziri Mkuu alikuwa kwenye ziara mikoa ya Morogoro na Dodoma na Singida kila alipopita kuna madudu kibao yalionekana.
Nini kifanyike ili huu mfumo wa rushwa uishe?
Hili suala la rushwa ni kikwazo kwa upatikanaji wa haki katika jamii hasa ngazi ya chini kuna wananchi hasa wanawake wananyanyasika mno. Rais amekuwa mkali kuwafukuza mafisadi na wala rushwa angalau imesaidia kwa 60%
Je kitu gani kifanyike ili rushwa na ufisadi upate kuwa historia?
Nini kifanyike? Je, kuwachapa hadharani itasaidia? Au kuwafilisi mali zao zote hata kama ameiba pesa ndogo?