RUSHWA: Laini za uwakala wa TiGO-PESA na M-PESA zauzwa na wafanyakazi kwa dau refu!

Tafuta wakala mkuu (Aggregator) upate usajili wako mara moja au ukipenda wasiliana nami 0754485762 nikupe procedures na utaidhinishwa kuwa wakala kwa muda mfupi sana na ni BURE kabisa.

mkuu mbona nasikia imesitishwa?me nilikuwa nahitaji line hiyo
 
mpaka dakika hii bado imesitishwa me nimepeleka maombi july 2013 mpaka dakika hii holla, nimemua nikae kimya tu , TIGO MKO WAPIII JAMANIIII NJOONI MJIBU HUKU.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom