umewastukia mkuu
HahahahaMzazi ukae mazingira jirani na Olimpio au Diamond halafu ukose laki tatu mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nadhani jamaa anatakiwa kupeleka mwanaye kayumba tu maana huko mbeleni hata hiyo laki tatu ya Ada itamshinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, mzalendo mnyonge
Shule zetu hizi ‘elimu bure’ ni majanga tupu, zipo shule kadhaa japo chache za serikali za kulipia (English Medium) na zinafanya vizuri sana.... mzazi haoni shida kulipia kwa maana ada ni nafuu ukilinganisha na shule binafsi za hadhi hiyo.
Sijui serikali yetu imekwama wapi kuongeza hizi shule, zimekuwa kimbilio na zinadahiri watoto wengi mno kwa mwaka.... unakuta darasa moja wanafunzi 400+.
Hapo mimi sijaelewa, ni kufaulu au kufaulu kupitia lugha ya kiingereza? Mbona kuna watoto wengi tu wamefaulu vizuri kupitia shule zetu zenye kutumia kiswahili? Kama tatizo lako wewe ni kusomesha kwenye english medium, basi mashule yamejaa mpeleke huko. Usitake kulazimisha serikali ieneze mashule ya english medium kila mahala kwa interest zako wakati inalenga kuboresha mashule yaliyopo sasa ambako elimu inatolewa bure
Basi mpeleke mtoto kayumba...ada laki 3 unateseka ungelipa milioni si ungekufaNdugu yangu, rushwa na motisha ni vitu viwili tofauti.... sijui huko kwenu.
Mie nadhani jamaa anatakiwa kupeleka mwanaye kayumba tu maana huko mbeleni hata hiyo laki tatu ya Ada itamshinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheap is expensive..shule nyingi tu ili kulinda nafasi inabidi uweke mzigo upfront na ni millions of moneyNyie walimu mnajifanya wajuaji na kunishambulia kwa jazba, ila mkae mkijua siku yenu inakuja wala haiko mbali.... na kwa taarifa yenu tu ni kwamba tunajua mbinu yenu ya kutumia ‘wafagizi’ na madereva kupokea hizo pesa ili msinaswe.
Endeleeni kudonoa hadi muifikie ndoano, tamaa huwa haina shibe na hutanuka kadri inavyomeza so hata kama sio mwaka huu zamu itawafikia tu mmoja baada ya mmoja.
Usile Mbegu.
Mzazi ukae mazingira jirani na Olimpio au Diamond halafu ukose laki tatu mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu English? Wako POA pia?Mmoja kamaliza 2015, mwingine kamaliza 2018 na wa mwisho yupo darasa la pili hapo hapo Mlimani primary.
Walikwambia utoe laki tatu au ulisikia kwa Watu tu?Ni kweli sina ushahidi, ila nimeona niliseme tu wala sina cha kufanya.... mashahidi ni wahanga wengine pia au nikiamua kuripoti PCCB na hizo Laki 3 nawakamatisha.
No mkuu we Kama una uwezo mkubwa kifedha kupeleka mtoto Olimpio au Diamond kwa kigezo Cha kuiunga mkono serikali sio poa maana unakua unazuia nafasi za walalahoi wasioweza kulipa Ada za mamilioni.We kwa mamilioni ndio kunakufaaa.Anyway rushwa Bado mpaka leo? Hakuna mtu huwa anaingia bill rushwa?We jamaa ni mcheshi sana, nimepata shule ya mamilioni huko na nimeshaanza kufanya malipo.... roho imeniuma kwa sababu lengo langu nilitaka kuunga juhudi kwa kunufaisha serikali sio mtu binafsi.
Wewe unaweza kuwa mmojawapo wa wanaofanya hiyo michongo.
Sahihisitetei rushwa ila serikali ndio ya kulaumiwa kwani kungekuwa na shule nyingi za serikali zinazotoa elimu kwa kingerza kama hizo basi watu wasingetoa rushwa,mbona shule za mtaani kwetu rushwa hakuna
Nchi ina wathenge wengi hii,halafu kutwa mnamtukana samia humu mazuzu nyie,