Labda tukitoa ushahidi hapa jamaa wataacha mbwembwe na kufanyia kazi tatizo hili.
Jeshi la polisi vituo vya wilaya wamepewa target ya makosa ya usalama barabarani 80 kwa wiki. Yaani makosa 40 Jumatano na 40 Jumamosi.
Kinachofanyika ni mapolisi kukamata watu hasa wa pikipiki wakiwa na makosa zaidi ya moja na kuwalipisha kosa moja, yanayobaki ni maelewano.
Zaidi wanatozwa Tsh elfu 10 kwa kosa ambazo zinaingia mifukoni mwa askari