Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,581
- 46,178
Mfano wa nchi gani hapa duniani Rais amewahi kupatikana kwa rushwa?
Uwepo wa rushwa haina maana kwamba kila jambo linawezekana kufanyika kwa rushwa, mifano yako ni hypotheticals za kitoto.
Uwepo wa rushwa haina maana kwamba kila jambo linawezekana kufanyika kwa rushwa, mifano yako ni hypotheticals za kitoto.
Rushwa INA madhara makubwa uchumi wa nchi chukulia waziri wa uchumi ,raisi nk wamepatikanao kwa rushwa wakati hawana uwrezo wa kuendesha uchumi wa nchi unajua madhara kwenye uchumi wa nchi?
Ukapata gavana wa benki kuu aliyepatikana kwa kuhonga au kamishina TRA na watendaji wa taasisi kibao za kiuchumi wakapatikana kwa rushwa wakati uwezo wao zero unajua madhara yake?
Tenda kubwa zikatolewa kwa rushwa kwa wasio na uwezo za miundombinu nk unajua madhara yake kiuchumi?
Madhara ni makubwa mno