Advicer
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 533
- 272
Kuna taarifa za chinichini kuwa Mhe.John John Mnyika ataweza kushika nafasi ya Mhe.ZZK
mnyika namkubali bt nawasiwasi na busara zake.
Kuna taarifa za chinichini kuwa Mhe.John John Mnyika ataweza kushika nafasi ya Mhe.ZZK
mmh sister, kumbe na wewe uko vyema kwenye politics eeh... hope you have calculated all the risks involved in this damn business (just joking teh teh)
Kweli wamekuwa wawazi, lipi linapaswa kutekelezwa hasa na Tanesco kwa wateja wake...........
Zitto ndie aliekua mwenyekiti wa hiyo kamati. Tunaomba ufafanuzi wake ni nani na nani wamehusika kwenye kuomba na kupokea rushwa.!
Zitto ndie aliekua mwenyekiti wa hiyo kamati. Tunaomba ufafanuzi wake ni nani na nani wamehusika kwenye kuomba na kupokea rushwa.!
Ikivunjwa nina wasiwasi kama cdm wataipata nafasi ya mbunge wao kuuongoza tena.au kanuni zinasemaje wadau?
Mkuu naona wewe na wanaJF wengi wanachanganya mambo. Wabunge toka vyama vya upinzani wao wanaongoza zile kamati tatu za kuikagua serikali kimahesabu- wanaziita oversight committees, yani POAC (mashirika ya Umma) chini ya ZZK, Hesabu za Serikali chini ya Cheyo, na Hesabu za Serikali za Mitaa chini ya Mrema. Kamati zingine zilizobaki, ikiwamo hii ya Nishati na Madini, sio rahisi Mbunge toka Opposition akawa Mwenyekiti wake kwa sababu ya wingi wa Wajumbe wake toka CCM. Zile tatu za oversight zinaongozwa na Opposition MPs kutokana na kanuni na wala sio kwa bahati.
Na kwa wale wanaofikiri kuwa ZZK ndiye mwenyekiti wa kamati hii ya Nishati wamepotoka-ZZK anaongoza kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma. Mwenyekiti wa kamati iliyovunjwa awali alikuwa January Makamba, na sijui alikuwa replaced na nani baada ya yeye kuwa Naibu Waziri, ila najua Mnyika ni Mjumbe tu kwenye kamati hii.
zitto hesabu za serikali wewe na mashirk ya umma wacha kukurupukaHiyo si kamati ya zito kabwe au,kazi ipo
Ingeanza ile ya Mrema (LAAC) ambayo imethibitika kunuka rushwa kwani mmoja wao ana kesi ya jinai mahakamani.