Rushwa Bungeni: Kamati ya bunge ya Nishati na Madini yavunjwa

Hii ishu imekuwa inaenda kamafumbo sana bungeni...jamani mwenye kujua A to Z ya hii sakata atumwagie hapa..ni kina nani hao?
Wameomba rushwa katika mazingira gani?
Hao wana kamati wamefanya vipi biashara haramu na Tanesco?
 
Ikivunjwa nina wasiwasi kama cdm wataipata nafasi ya mbunge wao kuuongoza tena.au kanuni zinasemaje wadau?
 
nimeskia wakiitaja st marys so mama lwakatare kama siyo memba lni mmojawapo wa watu waliohusika kuhujumu tanesco

mmh sister, kumbe na wewe uko vyema kwenye politics eeh... hope you have calculated all the risks involved in this damn business (just joking teh teh)
 
Ni kamati ya kudumu ya bunge ya nishati na madini, sambamba kamati nyingine zinazotuhumiwa nazo zitavunjwa.

Ingeanza ile ya Mrema (LAAC) ambayo imethibitika kunuka rushwa kwani mmoja wao ana kesi ya jinai mahakamani.
 
Hv kamati ikivunjwa,je mwenyekiti atakaechaguliwa lazima awe replaced na mbunge kutoka chamani kwake?isije ikawa njama za magamba kutaka uenyekiti ya wizara hii.
 
Kuvunja kamati moja moja hakutasaidia chochote. Bunge lote linanuka rushwa, Dodoma kumejaa lobbyists. Kanuni za bunge zipitiwe upya, na kila kila mmbunge anayekutana na makampuni/au madalali wa makampuni iwe wazi.

Pia ningetaka kuona Spika anafanya kazi kwa kutumia akili yake badala ya kuleta usanii wa kipumbavu wa kumpandikiza mbunge atoe hoja ili ionekane imetokana na bunge. Ina maana kama mbunge hakutoa hoja Spika asingefanya chochote? Anaridhika kuongoza bunge lilizama kwenye rushwa? Kama hajaridhika anafanya nini? Au mpaka apewe maagizo?
 
kamati ya mh A.Mrema je ?maana nayo imejeaa wabunge mafisadi
 
Mwenyekiti+wa+Kamati+ya+Bunge+ya+Nishati+na+Madini,+Selemani+Zedi,+akizungumza+na+waandishi+wa+habari%28Picha+na+Hellen+Ngoromera%29..JPG

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Selemani Zedi, akizungumza na waandishi wa habari
 
Ikivunjwa nina wasiwasi kama cdm wataipata nafasi ya mbunge wao kuuongoza tena.au kanuni zinasemaje wadau?

Hii ni kamati inayoongozwa na magamba, ilkua chini ya Februari Makamba, baada ya kupewa unaibu sijui nani aliziba pengo lake. chadema (Zitto) wanaongoza POAC tu.
 
Back
Top Bottom