Ni ukweli kuwa rushwa barabarani haitaisha hadi mfumo wa polisi barabarani ubadilike.
Polisi wanaona kupewa rushwa ni haki yao.Serikali ikitaka rushwa hiyo iishe itafute mfumo bora wa kukagua na kufuatilia mienendo ya magari barabarani.
Nasema hayo maana mimi ni dereva na mambo ninayokutana nayo ni kero tupu hasa mkoa wa Manyara. nikichoka nitasema kila kitu waziwazi hapa Jamii Forums.