Rusha roho inaelekea kubaya.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rusha roho inaelekea kubaya....

Discussion in 'Entertainment' started by fiksiman, May 25, 2009.

 1. fiksiman

  fiksiman JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2009
  Joined: May 17, 2008
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kwa wale wafuatiliaji na wapenzi wa muziki wenye maadhi ya pwani maarufu kama taarabu watakubalina na mimi kuwa sasa umeshapoteza kabisa muelekeo na unakoelekea kunatisha. Taarabu ya sasa na zamani imebadilika kabisa kuanzia mapigo hadi uchezaji. Labda huku ndiko kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

  Kilichonigusa zaidi kwenye muziki huu ni ile staili ya uchezaji. Kwa kweli inatisha na kama mwenzangu na mimi unaroho nyepesi unaweza kuadhirika kama si kupata mfadhaiko. Rusha roho imegeuka wachezaji wengi ni wadada kama si wamama, tena wale wenye makalio ya kutisha, HUBIDUA MAKALIO YAO NA KUYAFANYA YAANGALIA JUU HUKU WAKIZUNGUSHA NYONGO ZAO KICHWA KIKIWA KIMEGEUZWA KIKIANGALIA NAMNA MAKALIO HAYO YANAVYOKATA MAWIMBI YA UPEPO.

  Jamani mi mwenzenu napata shida sana ninapoona mitindo hiyo ya uchezaji na hulazimika kutafuta kibudirusho ili kurejea katika hali ya kawaida....Tushauriane jamani hii haki kubuni uchezaji wa namna hii????

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Please explain about this kiburudisho thing because when that chizi Mahsahnjah Mkhandamizajih talks about kiburudisho he means...yes, you'v guessed righ!! ;);)
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kiburudisho gani huwa unakitafuta mkuuu???
  Ila rusha roho inarusha sana mapigo yetu ya moyo mpaka nyumbani amani hamna siku hizi
   
Loading...