Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 20
Wakuu wote JF, salam
Habari nilizozipata muda mfupi uliopita ni kuwa Mh. Rupiah Banda aliyekuwa anakaimu nafasi ya uraisi nchini Zambia, amechaguliwa kwa kura za kishindo kuwa rais mpya wa nchi hiyo na ameshaapishwa
Chanzo: BBC