Rupia: Hazina ya Mjerumani

Kuna mchangiaji hapa kwenye hz page tatu nyuma hapa anajidai kuziona hzo rupia akiaminisha Zina nguvu za kimiujiza Hilo halina ukweli Bali n strategic tuu ya utapeli anavuta watu.

WAP na WAP mwanamke aende akachukue Mali ya kimazingara kamasio mshiriki Giza?

Rupia n stori ya kitapeli mtafute aneitafuta rupia ukimpa anamwambia ya mwaka flan huo mwaka anaotaja hyo rupia haikutengenezwa nlipata bahat ya kupata hzo pesa zote za zamani Ila uhalisia ukitaka upoteze ulichonacho na uwe mwendawazimu jiingize kwenye Inshu ya rupia na sijui Mali za mjeruman utaumia ndugu
 
2012 up to 2020, sijaona comment ya mtu alie nufaika kwa rupea, wengi ni kuambiwa na flani tu, inawezekana kuipata ni sawa unatafuta utajili kwa njia ya uganga/ ushirikina

Wenye nazo wanasema hazina soko ingawa zinapatikana,

Nitarudi na ushuhuda wangu na mm maana huwa nasumbuliwa na watafuta rupea,vishoka, plus pasi za Germany
 
njoo utupe mrejesho
 
Rupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. Sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo, kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa.

Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.

Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.
Mjeruman na Pound??? Au UK na Pound???
 
Mjeruman na Pound??? Au UK na Pound???
Kwa vile ulikuwa hujui kuwa kuliwahi kuwapo kwa Tabora Pound, baada ya kusoma hapa jambo la kwanza ungefanya kabla ya kujibu hivyo (kuonyesha kuwa hujui) ungefanya kazi ndogo tu ya kugoogle phrase "Tabora Pound." Kwenye list ya kwanza tu ungepata kitu kama hiki

The 1916 "Tabora Pound" - 15 Rupien Gold Coin from German East Africa

halafu ungeendelea na mambo mengine ya maana kuliko kuquestion ukweli wa post yangu hiyo. Post kama hizo huwa nazifanyia utafifiti wa kutosha kabla ya kuziweka hadharani.
 
ongezea nyama
 
2012 up to 2020, sijaona comment ya mtu alie nufaika kwa rupea, wengi ni kuambiwa na flani tu, inawezekana kuipata ni sawa unatafuta utajili kwa njia ya uganga/ ushirikina

Wenye nazo wanasema hazina soko ingawa zinapatikana,

Nitarudi na ushuhuda wangu na mm maana huwa nasumbuliwa na watafuta rupea,vishoka, plus pasi za Germany
Rupee yenyewe ndo hii?
IMG_20200502_080334.jpg
IMG_20200502_080352.jpg
IMG_20200502_080411.jpg
IMG_20200502_080415.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NADHARIA NA IMANI YA MASANDUKU YA WAJERUMANI

Siku moja nadhani ilikuwa ni April 2020, wazee wawili ambao nafahamiana nao hapa Dodoma mjini waliniambia kuna sehemu inasadikika yapo masanduku yenye mali za Wajerumani, hivyo nione kama nitaweza niambatane nao twende huko kwa mwenyeji wao kwanza atupe maelezo zaidi ikibidi atupeleke eneo yalipo.

Ni Wilaya ya Dodoma mjini maeneo ya Ihumwa sio mbali toka mjini nauli daladala Tsh. 700/=,
Nikaona ngoja niongozane nao kujua kipi kitajiri huko.

Tulifika nyumban kwa huyo mwenyeji wao ni mzee kiasi alitupokea na kuanza kutupa nadharia ya pale ambapo inasadikika kuna hayo masanduku, alisema kuna mlima ambao upo karibu na hapa kwa boda boda ni kama Tsh. 2000/= mkiwa tayari hata sasa niwapeleke.

kwenye huo mlima kuna jiwe refu ambalo juu ya kilele kuna alama inayoonekana ni kama mlango ambao umezibwa kwa cement yaani ni kama mfuniko.
Kufika pale kileleni ndio changamoto (kwa maana ya nyenzo za kupanda na kukufikisha kule juu) kwani kuna watu kama watatu alishawapeleka wakashindwa kupanda na kufikia eneo lile walijaribu kuunganisha ngazi lakini haikufika,

Anasema mlima huo kiasi una maajabu yake kwani kuna wakati mkiwa kule mtasikia mara watu wanapiga ngoma,
(Na maelezo mengine mengi sio rahisi kuandika hapa yote)

Baada ya maelezo hayo wale wazee wangu walisema tumepata picha halisi ilivyo hivyo ngoja turudi tukajipange tutakuja kufanya hiyo kazi.

Baada ya kurudi nyumbani sijaweza kuwa nao karibu kuzungumzia jambo hilo, kwani kwa maelezo ya yule mwenyeji hata hawa wazee nilioenda nao wanaoa sio kazi rahisi, Pia haina uhakika baada ya kufikia kilele kile na kufunua mfuniko kuna nini ndani yake.
 
Kaa mbali na hao wazee mkuu
Utafirisika hadi senti ya mwisho..tumedhurumiwa nyumba kisa mambo haya yasiyo na faida..mzazi wangu aliingia kwenye hizo biashara hakuna alichofanikwa zaidi ya kuwa maskini tu

Kaa nao mbali mkuu
 
Mwenye mali za kijerumani kama vile pasi, Rupia ya kitumbua, Rupia ya simba wawili, Fufumarfk, pasi , maji mekundu (Mercury), kisu, dinali , n.k nitafute kwa 0716637717 na 0769767771 soko la uhakika lipo
 
Dah! Nimewahi endesha baiskeli zaidi ya km 200 kufukuziA rupia na mecury. Yaani akili zinahama. Unafukuziaaaa mwisho wa siku Eti Inataka muwe Wahusika 20 wakati wewe ulihangaika peke YAKO. Sitaki tena kusikia haya mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya na bahat mbaya hv vitu havitaki ubinafsi na moja ya jambo tunalofeli ni hilo ukiwa na tamaa na ubinafsi basi kila kitu kimeharibika
 
Rupee ni fedha iliyotumiwa wakati wa mjerumani. Sarafu zake zitengenzwa kwa madini ya shaba na fedha tu, kwa hiyo nyingi haina tahamani. Hata hivyo, kuna sarafu moja iliyotolewa muda mfupi kabla ya vita ya kwanza ya dunia ilikuwa imetenegezwa kwa dhahabu tupu; nadhani hiyo ndiyo inayotafutwa.

Sarafu hiyo iliyokuwa inajulikana kama Tabora Pound ilitolewa mwaka 1916 na haikupta kusambaa sehemu nyingi za nchi. Sehemu kubwa ya sarafu hiyo ilihifidhaiwa kwa kuficwa chini ya ardhi ikiwa bado ndani ya msanduku yake, na huenda hiyo ndiyo inayotafutwa.

Miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuweka hapa historia ya sarafu yetu na niliongelea hiyo Tabora Pound na thamani yake leo.

Mkuu naomba link ya huo huzi please!
 
Wakuu hii biashara ipo lakini kuwa makini sana kwa sababu ina matapeli wengi kuliko wanunuzi au wauzaji wa ukweli.
Na kama unayo kuna vipimo naweza kukuelekeza upime.
Usijaribu kutoa pesa yako kununua au kumpa mtu anaesema anayo mali au soko(utaibiwa)
Ukiona mtu ana mali na vipimo vimekubali lakini mmiliki wa mali akaanza kuleta masharti ya kutaka pesa kwanza ndo muende sokoni tafadhari usimpe hata mia.
Katika 100% ya watu uliokutana nao kwenye biashara hii 98% ni matapeli na wapo vizuri utaibiwa kwa namna yoyote ile(kuwa makini sana usimuamini mtu)
 
Nina marafiki wajerumani na baadhi walikuwa nazo wakizitunza kama souvenirs tu. Hizi hadithi za mtaani kuhusu hivyo vipimo sijui haionekani kwenye kioo niwasimulia huwa wanacheka sana. Sidhani kama zina ukweli wowote. Mjomba wangu alifilisika na kufa masikini kwa tafuta sarafu zenye hivyo vigezo!
 
Nina uhakika na kipimo cha maji hicho kingine cha kupotea sijui sina uhakika nacho
 
Back
Top Bottom