Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

Discussion in 'International Forum' started by nyakashenyi, Mar 18, 2013.

 1. n

  nyakashenyi Senior Member

  #1
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 140
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau kama mnakumbuka ijumaa iliyopia Bunge la Zambia liliondoa kinga ya kutoshtakiwa kwa mtu aliyefanya makosa akiwa madarakani ,sasa mchana huu aliyekuwa Rais wa Zambia Mzee Rupia Banda yuko chini ya jeshi la polisi.What is the lesson for Tanzania??
   
 2. mbinguni

  mbinguni JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 2, 2013
  Messages: 1,581
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Hii ndiyo demokrasia ya kweli.Ukichinja,ukiiba nawe utakumbana na mkono wa sheria.Hakuna aliye juu ya sheria huko zambia kama hapa tanganyika tunayaona majizi,majambazi na mafisadi yaliyotufanya tuwe fukara lakini bado yako serikalini yanatamba.
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Mar 18, 2013
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,942
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 180
  watajua wenyewe huko, sisi ya kwetu yanatushinda.
   
 4. n

  nyakashenyi Senior Member

  #4
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 15, 2013
  Messages: 140
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hahhahahahhhahaha,Watz tumekata tamaa naona lakini Mungu atusaidie bwana!
   
 5. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2013
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kumbukumbu zangu hazikubaliani na wewe kwamba Rupia Banda ni Rais wa zamani wa Malawi.
  Rupia Banda alikuwa Rais wa Zambia na yule wa Malawi alikuwa anaitwa Kamzu Banda na ni Marehemu.
   
 6. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2013
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi nilikuwa Zambia juzi juzi hapa, yaani jamaa wanavyotufagilia mpaka mimi mwenyewe nikaanza kujishtukia, wengi hata wanatamani wangezaliwa kwetu, hayo unayoyasema na wao ndio wanayasema kwa nchi yao, jamaa mmoja akaniambia tuazimeni CCM angalau kwa mwaka mmoja tu, watujengee Umoja hapa kwetu Zambia, nikamwambia subirini karibu wanapigwa chini tutawapeni, jamaa akashindwa kuelewa, kwamba tunataka kuwatoa CCM!
   
 7. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2013
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru Mkuu kwa taarifa lakini fanya marekebisho Rupia Banda ni Former President wa Zambia siyo Malawi. First and Former President of Malawi is Dr Hastings Kamuzu Banda. Current President wa Malawi ni Joyce Banda.


  Rupia Banda.jpg

  Habari yenyewe hii hapa:

  Zambia's ex-President Rupiah Banda has appeared before an official panel to answer allegations of corruption during his three year in power.
  Police barricaded roads leading to the national anti-drugs offices in the capital Lusaka, where Mr Banda was questioned for more than two hours behind closed doors, reports say.

  Zambia's parliament stripped him of his immunity from prosecution on Friday. Mr Banda's lawyer, Robert Amsterdam, says he is the victim of a witch hunt. He stepped down from office in 2011 after losing elections to President Michael Sata. He was widely praised for accepting defeat, rather than challenging the result.

  Last June, his eldest son, Andrew Banda, was charged with corruption following allegations that he took a 2% cut from all road-building contracts awarded to an Italian company during his father's rule. He strongly denied the allegation. The ex-president's immunity was lifted after he refused to appear before the panel last month.

  Mr Banda waved to supporters as he walked into the national anti-drugs offices, but did not address them, Reuters news agency reports. After he left, a government spokeswoman said the questioning would resume on Tuesday, Reuters adds.

  President Sata has launched an anti-corruption drive since coming to power that has seen a number of former ministers investigated and some arrested.
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,802
  Likes Received: 815
  Trophy Points: 280
  Sahau kwa polisi wa bongo
   
 9. C

  CT SCan Mchina JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2013
  Joined: Mar 13, 2013
  Messages: 1,247
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Bado MaCCM 2014/15
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2013
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hata mimi kaniletea kizungu zungu ni mesoma mara mbimbili heading yake.lol!
   
 11. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2013
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,319
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Zambia bwana(Sio Malawi), iko juu sana! sio kama Kenya, TANZANIA wala Uganda!!!
  Kwanza wenyewe Uchaguzi unakuwa huru toka enzi za Kunda hakuna kuchakachua!! yeyote atakaeshinda ndie huyohuyo...akichemka akiwa madarakani..akiondoka lazima shria imfuate!!

  Kikwette jiandae... kwa mauaji ya mwangosi, kuteswa kwa Dr Ulimboka , Kibanda, Kubenea n.k
  na ufisadi wa deep green finances!! nk nk!!
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,274
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mtoa Mada nazani anajua ukisikia jina la BANDA anajua lazima utakuwa unatoka Malawi hapana si unajua wabantu tunashare mpaka majina hasa mkiwa mipakani unakuta hawa wazungu wakati wanakata mipaka nusu mko inchi moja na nusu mko inchi ingine.
  Nkiwa Kasama last time yaani Wazambia wanasema watz mna heri na viongozi wenu kumbe hawajui ni li inchi lenyewe limejaliwa neema ya kila taka taka unayoijua apa dunia mola hajatupa glaciers tuu kama greenland ili tufanye ile michezo ya barafu.So as a result ata wakivurunda CCM bado twaonekana tuko juu.Hwajui kuwa were we to be having the right leaders Tz kiuchumi ilibidi tuwe twashindana na South Africa.
   
 13. T

  THE COMMISSIONER JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 3, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa news but nadhani ulikuwa unazungumzia Zambia na si Malawi?
   
 14. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2013
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,319
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna kitu kimemiss hapo mwezi uliopita walikuja viongozi wa dini wa ukanda huu...Shehe mmoja toka Zambia aliisifu sana nchi yake kuwa haina udini kabisa, akatushangaa sisi kuwa tumegeukia udini ilhali wao waliiga utulivu wa kidini kutoka kwetu!!
   
 15. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2013
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi yaani kuna Mademu walikuwa wananing'ang'ania niwalete Dar, hawajawahi kufika lkn wanasikia stori zake, kwa jamaa zao waliokuwa Dar, yaani shida tupu, kwa kweli nimejifunza Bongo yetu utaanza kuikubli ukitoka nje ya Mipaka yetu, jamaa wanatuona tuko juu!

   
 16. T

  THE COMMISSIONER JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2013
  Joined: Dec 3, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bubu Msemaovyo,

  Mchaka mchaka kama utatokea mara baada ya 2015 kwa hapa TZ kwani kwa wakati huo nyinyiemu hawatakuwa madarakani.

  Baba Mwana Asha ataeleza anaijuaje Tan Gold, Deep Green, Meremeta na Kagoda. Mzee wa utandawzi atajibu hao wanyama wametoka wapi na Richmonduli atahenya kueleza ukweli wa Richmond.

  Kwa sasa tunavuta pumzi tu.
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,274
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kaaazi kweli kweli!
   
 18. grand-mal

  grand-mal JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2013
  Joined: Feb 22, 2013
  Messages: 337
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hata kwetu haya yatatokea tu, hata kama si kesho lakini ipo siku, tutafukua hata makaburi yao tuwashitaki.
   
 19. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2013
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Utafukua mpaka wapi? Manake hata Kaburi la Baba wa Taifa itabidi likafuliwe, ukianza kurudi nyuma sana!
   
 20. B

  Bob G JF Bronze Member

  #20
  Mar 18, 2013
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  na huyu rais kivuli asubiri kupelekwa mahakamani kwa kujipatia mabilioni ya fedha kwa knjia haramu
   
Loading...