stackoverflow
Member
- Jul 10, 2019
- 20
- 15
Wakuu nipo njia panda niende upande upi kati ya hizo gari, nataka gari ambayo haizidi cc1500 ipi nzuri hapo.
RUN XWakuu nipo njia panda niende upande upi kati ya hizo gari, nataka gari ambayo haizidi cc1500 ipi nzuri hapo.
RUN X
impreza itoe kwenye CC hizo
Boss nimekuelwa kias mkuu wang hebu nifafanulie kidogo
Brand | Toyota | ||||||||
Model | Corolla | ||||||||
Generation | Corolla Runx | ||||||||
Engine | 1.5 i (110 Hp) | ||||||||
Fuel consumption (economy) - extra urban | 6 Liters/100 km | ||||||||
MPREZA Fuel Consumption Summary
| |||||||||
Brand Toyota Model Corolla Generation Corolla Runx Engine 1.5 i (110 Hp) Fuel consumption (economy) - extra urban 6 Liters/100 km MPREZA
Fuel Consumption Summary
Fuel Consumption Extra Urban: 10.4 litre/100km (9.6km/litre) Urban: 6.4 litre/100km (15.6km/litre) Combined: 7.9 litre/100km (12.7km/litre)
I
Ndo hiyo subaru niliyoiulizia hapo juu mkuu wangMkuu kuna subaru zimetoka za CC 1490 nazani ila ziko chini sana kama unakaa kimara ndani ndani huko itakupa shida bora ununue RAUM au IST
Ulaji mzuri mafuta ni kigezo pia kwangu mkuu. Pia uimaraImpreza ni nzuri kuliko Run x au Alex kwa vigezo vya Stability, Luxury, power na speed..
Tatizo ni Imprezza spea zake ghali na ulaji wa mafuta ni mkubwa ukilinganisha na alex or runx japo cc zinaonekana ni sawa
Kwa hiyo kama unahitaji fuel efficiency nzuri na spea za bei rahisi, go for Toyota..
Kama unahitaji real taste of riding a car, power, speed n.k go for other brands like Subaru, Nissan , BMW, VW nk..
Just go for Toyota IST ile ya cc1290....with limited space inside like bread box.....Ulaji mzuri mafuta ni kigezo pia kwangu mkuu. Pia uimara
Vipi kiyoyozi chake....coz subaru na suzuki huwa hazina kiyoyozi mwnana...Sijui unachokwepa ni mini hasa? Go for Impreza, I am using it na haitofautiani sana na Huo Runx kwa Mafuta. Take it from me 1.5L Impreza ina kila sifa ya kuitwa gari
Haupo serious wewe, unawapotezea watu muda..Vipi kiyoyozi chake....coz subaru na suzuki huwa hazina kiyoyozi mwnana...
Sawa...ila ungejibu tu coz kuna subaru mwenye nayo alikuwa analalamika kiyoyozi...na suzuki grand nilikuta ina hayo mambo.Haupo serious wewe, unawapotezea watu muda..
Kama ulitaka kumuuliza mtu mmoja ungemtumia DM, swala la AC ni tatizo la magari yao labda hawajafanya "service" ya mfumo mzima wa AC kwa muda mrefu ukizingatia ni magari yaliyotumika..Sawa...ila ungejibu tu coz kuna subaru mwenye nayo alikuwa analalamika kiyoyozi...na suzuki grand nilikuta ina hayo mambo.
Kuna watu kama watatu wanamiliki subaru foresta, nao walilisema hilo...nikaona niukize kwa upande wa Imprezza.
I must excuse myself for the question,
japo swali sikukuuliza wewe....so unhekaa kimya pia ingekuwa busara.
You can't even dare to say I was not serious coz you were in my mind...Kama ulitaka kumuuliza mtu mmoja ungemtumia DM, swala la AC ni tatizo la magari yao labda hawajafanya "service" ya mfumo mzima wa AC kwa muda mrefu ukizingatia ni magari yaliyotumika..
Mimi natumia Subaru kiyoyozi kinapooza kama kawaida..
Nisamehe kama umekwazika na majibu yangu, ila uwe serious siku nyingine unapouliza maswali..
Ukihitajika uweke vielelezo/vithibitisho kwamba viyoyozi vya Suzuki na Subaru havipo mwanana kama ulivyo "conclude" hapo juu utaweza kutetea hoja yako?You can't even dare to say I was not serious coz you were in my mind...
Kama ulijijua huna lugha ya kujibu kiistaarabu ungeipita post kama kituo cha polisi...usingepungukiwa...
Si lazima niende PM...nimeweka hapo ili mwenye knowledge ajibu....
Hongera kwa kumiliki subaru...