Runx, Allex or Subaru Impreza wadau niko njia panda

Boss nimekuelwa kias mkuu wang hebu nifafanulie kidogo

BrandToyota
ModelCorolla
GenerationCorolla Runx
Engine1.5 i (110 Hp)
Fuel consumption (economy) - extra urban6 Liters/100 km
MPREZA

Fuel Consumption Summary
Fuel Consumption
Extra Urban:10.4 litre/100km (9.6km/litre)
Urban:6.4 litre/100km (15.6km/litre)
Combined:7.9 litre/100km (12.7km/litre)

I

Asante boss nmekupata vyema

Impreza ni nzuri kuliko Run x au Alex kwa vigezo vya Stability, Luxury, power na speed..

Tatizo ni Imprezza spea zake ghali na ulaji wa mafuta ni mkubwa ukilinganisha na alex or runx japo cc zinaonekana ni sawa

Kwa hiyo kama unahitaji fuel efficiency nzuri na spea za bei rahisi, go for Toyota..

Kama unahitaji real taste of riding a car, power, speed n.k go for other brands like Subaru, Nissan , BMW, VW nk..
 
Ulaji mzuri mafuta ni kigezo pia kwangu mkuu. Pia uimara
 
Mpaka hapo achana na Subaru, nunua hizo nyingine, ukitaka kununua gari ukaanza kulinganisha ulaji wa mafuta wa Subaru na hizo Alex kwa kifupi uwezo wako ni wa hizo Alex sasa ili usijekuwa na gari LA kuendesha weekend tu kwa kukosa mafuta nunua saizi yako
 
Haupo serious wewe, unawapotezea watu muda..
Sawa...ila ungejibu tu coz kuna subaru mwenye nayo alikuwa analalamika kiyoyozi...na suzuki grand nilikuta ina hayo mambo.

Kuna watu kama watatu wanamiliki subaru foresta, nao walilisema hilo...nikaona niulize kwa upande wa Imprezza.

I must excuse myself for the question,

japo swali sikukuuliza wewe....so ungekaa kimya pia ingekuwa busara.
 
Sawa...ila ungejibu tu coz kuna subaru mwenye nayo alikuwa analalamika kiyoyozi...na suzuki grand nilikuta ina hayo mambo.

Kuna watu kama watatu wanamiliki subaru foresta, nao walilisema hilo...nikaona niukize kwa upande wa Imprezza.

I must excuse myself for the question,

japo swali sikukuuliza wewe....so unhekaa kimya pia ingekuwa busara.
Kama ulitaka kumuuliza mtu mmoja ungemtumia DM, swala la AC ni tatizo la magari yao labda hawajafanya "service" ya mfumo mzima wa AC kwa muda mrefu ukizingatia ni magari yaliyotumika..

Mimi natumia Subaru kiyoyozi kinapooza kama kawaida..

Nisamehe kama umekwazika na majibu yangu, ila uwe serious siku nyingine unapouliza maswali..
 
You can't even dare to say I was not serious coz you were in my mind...
Kama ulijijua huna lugha ya kujibu kiistaarabu ungeipita post kama kituo cha polisi...usingepungukiwa...

Si lazima niende PM...nimeweka hapo ili mwenye knowledge ajibu....

Hongera kwa kumiliki subaru...
 
Ukihitajika uweke vielelezo/vithibitisho kwamba viyoyozi vya Suzuki na Subaru havipo mwanana kama ulivyo "conclude" hapo juu utaweza kutetea hoja yako?
 
Back
Top Bottom