Elections 2010 Rungwe na kyela

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Napenda kufahamu matokeo ya Rungwe na Kyela mtu mwenye taarifa tujulishe jamani.
 
Rungwe Mashariki Prof Mwandosya alipita bila kupingwa, Kyela Dr. Mwakyembe anaongoza kwa zaidi ya 75%. Prof Mwakyusa sina uhakika
 
Mi nadhani huna sababu ya kujisumbua kwani huko in ajulikana kuwa wabunge ni wa ccm na Rais ni DR. SLAA PHD, tafadhali huo ni mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom