RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

u
Iko ivi mfano nimehudhuria kwenye shughuri ya kiserikali ambayo inarushwa mubashara na TBC Mimi nikiwambele ya kamera labda nasoma risala mala paap nikavua suruali yangu nikapandisha na shati kuonesha utupu wangu ghafla...

Hapo TBC watatakiwa wafungiwe mkuu au Mimi nipewe adhabu?
tatakiwa upewe adhabu wewe na sio kituo cha runinga sio haki kwakweli..na fika unajua kabisa kuwa gigy anajichetuaga akili basi ni kumtoa kabisa kwenye tasnia
 
TBC wapo fasta kukata,mfano mzuri wakati wa kampeni hasa upande wa upinzani. Kile kitendo cha kushika suruali tu kinawapa ishara mbaya wanakuwahi either kubadili angle ya kamera au kuzima matangazo kwa muda
ni kweli watu wa camera pia wanatakiwa wafanye kazi yao labda kubadili upande au kuzima kabisa pia walikosea kwa hapo hao wasafi
 
Kabisa mkuu.Kwa wasafi ile ni makusudi au kujiamini kupitiliza kisa boss wao yupo karibu na vigogo wa ccm. Gigy anajulikana kwa matukio mabovu wangekua makini kupeleka camera pembeni ilawao wakawa busy kutafuta views wengi kwa kiki ya gigy
ni kweli watu wa camera pia wanatakiwa wafanye kazi yao labda kubadili upande au kuzima kabisa pia walikosea kwa hapo hao wasafi
 
Iko ivi mfano nimehudhuria kwenye shughuri ya kiserikali ambayo inarushwa mubashara na TBC Mimi nikiwambele ya kamera labda nasoma risala mala paap nikavua suruali yangu nikapandisha na shati kuonesha utupu wangu ghafla...

Hapo TBC watatakiwa wafungiwe mkuu au Mimi nipewe adhabu?
Unatakiwaa kukata matangazo haraka sana na muda huo huo uombe radhi kwamba imetokea kwa bahati mbaya. JE WAO WALIKATIZA? maana Show ni dk nyingi sana mara anapanda juu sijui ya milingoti ya jukwaa mara amelala kifudifudi anachezewa MKUNDU bado WASAFI WANAOMFATA NA KUONESHA KWA UKARIBU (ZOOM). ACHA KUTETEA UPUMBAVU
 
hoja ni moja je kufungia tv ndo suluhisho..yaani ukimkosea mama kukupiga kila siku ndo suluhisho hilo au ndo anakufanya unakuwa sugu
Tukio lilikuwa LIVE walichotakiwa ni kucut hiyo live streaming na sio kuionyesha mpaka mwisho.Gigi aliingia na Dera kwanza (ina maana alijua amevaa nini na anataka fanya nini), adhabu ni wao kurusha baada ya kukata matangazo
 
Back
Top Bottom