Rungu la wakuu wa mikoa

kipusi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
443
75
Hili lungu walilopewa wakuu wa mikoa ni shiida kwa watumishi wa chini.
 
Maagizo ya namna hii yananikumbusha kisa cha jinsi mkuu wa mkoa wa Iringa Dk Wilbert Kleruu katika miaka ya 70 alivyoyakurupukia kutekeleza maagizo ya mwalimu bila hekima badala yake alishonwa shaba na Mwamwindi.
 
ukiona kibao kilichokua kimeelekezwa kwa mke kinapogeuziwa kwa majirani..
ujue hapo ni kasheshe ya mmasai kuingia bluz !
 
Back
Top Bottom