RUKWA: RC aagiza walimu kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina

😆😆😆 huyo RC nazani anachezea moto au ana wa beep wazee wa nyungo ngoja washukenae jumla jumla
 
anaesema Kilimanjaro hawavai hirizi si kweli ,ghafla watu wavuliwe nguo utaona maajabu, kama halionekani limemezwa lipo tumboni. Na Kama sivyo limefichwa chumba maalumu nyumbani. Wewe jua tu maisha ni mchezo.
 
Matumizi mabaya ya madalaka.
Hayo maagizo wanatoa tu wanapojisikia kama mfumo wa machief..

Hii ndio africa.
 
Wawe waangalifu wakati wa kukagua wasijeishia kupatwa na madhara makubwa yakiwemo upofu ama kulipukiwa na hizo hirizi. Rukwa si kwa mchezo²
 
MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo, amewaagiza walimu wakuu na wakuu wa shule kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi wawapo shuleni, ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina.

Agizo hilo alilitoa jana kwenye mkutano alioufanya Kijiji cha Malonje wilayani Sumbawanga kutokana na baadhi ya wananchi kudaiwa kuwa na tabia ya kuwaita waganga wa jadi, maarufu lambalamba, na kuwalipa fedha ili wawasafishie nyumba na mali zao.

"Kutokana na baadhi ya wazazi wa wanafunzi kuamini ushirikina kupita kiasi, huenda wakawapa hata watoto wao hirizi na matunguli ili waende nayo shuleni wakiamini kuwa vitu hivyo vitawalinda watoto wao hali ambayo itasababisha usumbufu kwa wanafunzi wengine.

Taarifa: Nipashetz


Kuna Mtu aliwahi kuniambia All - Rounder kuwa kama kuna Mkoa ambao hata Baba wa Taifa aliuogopa na kuna RC alilazwa Darini ni wa Rukwa.

Amewanunulia hirizi za kinga hao walimu?, au anadhani ukaguzi huo ni mchezo mchezo!!!
 
Kwani serikali siku hizi inaamini uchawi na ushirikina mpaka RC anatoa agizo kama hilo? Marc wanatakiwa kuwa wanasoma soma baadhi ya mambo na si kuagiza tu, nikuwaonea bure waalimu.
Waisraeli walipokuwa wametoka Misri, waliamriwa kwamba yeyote ambaye angekutwa na vitu kama hivyo, ilikuwa apigwe mawe mpaka kufa!
Sasa kati ya aliyeumba na aliyeumbwa utaegemea upande upi?
 
Hii kitu itasababisha madenti kuliwa sana.Maana kuna walimu wakware wakiona tako la denti mboro inaamka.
Au maticha wa kike wakiona dushe udenda unamwagika.!
 
Hirizi ni imani
Biblia ni imani
Quran ni imani

Sijui RC amewaza nini
 
Hivi huyo RC hakuangalia game ya Simba vs Platinum kutoka Zimbabwe? Hakumwona yule na jinsi alivyowatenda Platinum?

Sasa ajiandae kujitetea mbele ya Baraza la mapaka kama yale.
 
Back
Top Bottom