Rukwa: Rais Magufuli amtaka IGP kumshusha cheo na kumsimamisha kazi Kaimu RPC kwa kudharau amri halali ya Waziri Kangi Lugola

Una chuki na JWTZ nini, maana hawa jamaa nawaonaga Mara kibao tu wanafanya mausafi hasa sehemu za social centers. Sidhani Kama ilikuwa kwa ajili ya siasa.
Sina chuki na chombo chochote,haujawahi kuona wakiimba nyimbo zakumsifu nakukisifu chama,hebu google.
 
Basi naye ni fal.a kama alipewa maagizo akakaa nayo...tena usawa huu... bora niombee wagonjwa kuliko kumuombea mzembemzembe
SANA UU huyu Urio alikuwa Dodoma mwendesha Mashtaka miaka hiyo alikuwa kiburi sana hasikilizi mtu (Mshtakiwa) akitaka kukufunga ukamPIN kona kwenye Kesi anaweza kukuzabua
Nilijua mwisho ni hapahapa Duniani wala sio Ahera
mpeni salamu zangu toka juzi naoga kilagi namkaribisha Uraiani
 
Back
Top Bottom