Rukwa: Rais Magufuli amtaka IGP kumshusha cheo na kumsimamisha kazi Kaimu RPC kwa kudharau amri halali ya Waziri Kangi Lugola

Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.john pombe magufuli amsimamisha kazi staff officer wa jeshi la polisi mkoa wa Rukwa polycarp urio;mheshimiwa raisi amefanya hivyo baada ya officer huo wa jeshi la polisi kushindwa kuhamisha Askari tisa waliotajwa kwa tuhuma za rushwa na waziri wa Mambo ya ndani kangi lugola akiwa ziarian mkoa wa Rukwa mwezi uliopita
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.john pombe magufuli amsimamisha kazi staff officer wa jeshi la polisi mkoa wa Rukwa polycarp urio;mheshimiwa raisi amefanya hivyo baada ya officer huo wa jeshi la polisi kushindwa kuhamisha Askari tisa waliotajwa kwa tuhuma za rushwa na waziri wa Mambo ya ndani kangi lugola akiwa ziarian mkoa wa Rukwa mwezi uliopita
kwa vile ni mchaga
 
askari ni waonevu sana tena wangefukuzwa kazi kabisa
Kuna watu wanawatetea, yaani wapige raia na kunyanyasa wenye magari ili wapewe rushwa waendelee kuchekewa tu? nilishashauri wizara ianzishe kitengo cha kushughulikia maonevu ya polisi, raia wawe wanapeleka malalamiko yao huko na wale polisi wanaolalamikiwa mara kwa mara waondolewe kazini ili wakasumbue familia zao. Hatuwezi kuwa tunawafanya raia wawe wanaishi kwenye nchi yao kwa hofu, utafikiri ni wahamiaji haramu, magaidi au majambazi..
 
Utumishi wa umma awamu hii umekuwa stress tupu sasa baba wa watu amelala ana kazi kaamka kaenda church leo kazi hamna.
 
Ila polisi mmezidi sio tu kutumika kisiasa hata huku mtaani ni waonevu sana kisa tu vi hela vidogo vidogo
Kumbuka JWTZ nao walifanya usafi kipindi cha wale upinzani walipotaka kufanya kitu kinaitwa UKUTA lakini lawama zilienda kwa polisi,hawa watu tunawalaumu kwasababu mteuzi wa mkubwa wao,i.e IGP ni mkuu wa nchi ambaye ni kada na mwenyekiti wa chama tawala,wasipotii mamlaka yake au ya waliochini yao,huenda wakapata matatizo.
JWTZ pia wangekua wanashughulika na mambo ya ndani kabisakabisa,hakika nao tungewalaumu tu,tena yawezekana so,sababu kubwa ni wanasiasa wanaokua na nguvu kuliko wanaoongoza vyombo hivi.
 
Ila polisi mmezidi sio tu kutumika kisiasa hata huku mtaani ni waonevu sana kisa tu vi hela vidogo vidogo
Usihukumu wote kwasababu ya hao unaowasikia au kushuhudia wakifanya mambo kinyume na maadili ya kazi,siyo wote wako hivyo ndugu yangu.
 
Sijawahi kuwa na huruma na polisi, huyo acha anyanyaswe tu na wakuu wake.
Polisi wanaongoza kunyanyasa wananchi wa chini hasa wafugaji.
Kwa kushindwa kwake kutii amri ya Waziri Kangi Lugola ya kuwahamisha askari polisi waliokuwa wanatuhumiwa kwa rushwa.

Sasa ripoti zimefika kwa Rais Magufuli na RPC kaitwa mbele ya hadhara kaishia kujiuma uma tu.

Nafikiri baada ya mkutano huu, Rais atakutana na wasaidizi wake juu ya RPC huyu wa Rukwa.

Tumuombee hekima na busara Rais Magufuli, asimtumbue RPC japo polisi ni waonevu ila kama binadamu tumuombee tu asitumbuliwe.

Nawasilisha

----- Update-----
Rais Magufuli amemtaka IGP Sirro kumshusha cheo aliyekuwa kaimu RPC Rukwa na mara moja amsimamishe kazi hadi pale atakapotoa maelekezo mengine.

-
 
Back
Top Bottom