RUKWA: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa mapanga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Wale wenye maziwa maghetoni hii inawahusu Sana. Nahisi marehemu maziwa yake yalichacha.
 
Licha ya wosia Wote huu Kuna mtu alileta uzi Wa
Namna bora ya kutafuna mke Wa mpangaji mwenzie wanayekaa nae Nyumba moja.
Siku wakimkurupua bila nguo ndiyo atamkumbuka mama yake aliyeko kijijini mwenzie kaondoka bila hata kuomba maji wakati ana mke nyumbani
 
Kupumzika kwa amani kila mtu anataka kupewa ila ni amani gani uitafutayo? Bible hiyo hiyo inasema ole wake amsababishaye makwazo mwenzie ni heri afungwe jiwe kubwa shingoni akatoswe baharini sasa hapo ni bahari gani tusiharalishe uzinzi
Kwa hiyo neno gani tulitumie kumtakia heri huko alipo?
 
Sitegemei kuutoa uhai wa Binadamu mwenzangu kisa Mwanamke,ni kujitafutia laana katika kizazi,damu ya Mtu ni hatar Sana,mimi hata adhabu sitoi,jukumu ntakalochukua ni kumuacha mke wangu,il akayafanye huko akiwa huru,lakin siyo kuua,kama hao kwa sasa wanatafutwa na Polis,hapo hapo wamepatana laana na bado future zao zimevurugika

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom