RUKWA: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa mapanga baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Nani kafaidika,kwanini ufe kwasababu ya mtu mwingine aje ale....,unazikwaje na jamii,unataka kusema marehemu kafa ili mke wa mtu abaki analiwa na wengine.. vipi kuhusu mke wa marehemu hataliwa na watu wengine..,acheni mambo ya ajabu wafipa wengi wa kike wala sio wazuri kiviilee sijui mnawashobokea nini,je mngeenda mikoa ya kaskazini au Singida si ingekua balaa,nadhani kutikutembea nako ni tatizo,mimi ni mfipa na nimetembea,huwa sipagawi na hao ndugu zangu,sembuse mke wa mtu..,ila mwanzo kabla sijatembea nilikua nadhani wao ni madada wazuri sana kwa sura na maumbo,kumbe sio.
Ww unafikiri jamaa aliyeuwawa hiyo ndio siku ya kwanza kumla huyo demu ? Jamaa amekula saana hapo , yaani anayeumia zaidi ni mwenye mke anaseka jela , sema sasahivi akili ilishamrudia anajuta
 
Ww unafikiri jamaa aliyeuwawa hiyo ndio siku ya kwanza kumla huyo demu ? Jamaa amekula saana hapo , yaani anayeumia zaidi ni mwenye mke anaseka jela , sema sasahivi akili ilishamrudia anajuta
Si unaona kazoea naye hapo atakuwa alikuwa na mke, sikio la kufa halisikii dawa
 
Safi sana. Hii ndio adhabu stahiki.

Wanawake wamejaa kibao, kwanini uhangaike na wake za watu.
 
Mimi siwezi muua haraka namna hiyo,lazima ningekula kwanza ndogo,huwezi mvua my wife pichu aisee na mbaya zaidi nikute unajua kabisa kwamba nammiliki aisee!!
 
Back
Top Bottom