Rukwa: Koti alilovaa lamwokoa kuuawa na Tembo baada ya kumfunika usoni hivyo kupoteza mwelekeo

Hivi huyo tembo aliefunikwa na koti bado analo au limetolewa? Na vipi uelekeo wake mpaka muda huu? Anaelekea wapi, asije kuelekea Namanyele au Lyamba lya Mfipa au akatokomea Makanyagio?
Kaonekana maeneo ya kizwite mkuu akiwa na koti lake
 
Tembo alikua anasikia baridi akahitaji kimpa joto,jamaa alivojua hivo akamrushia akalidaka akataka vaa likawa dogo likanaaa kichwani
 
Mungu ni mwaminifu kama hakutaka ufe lazima akuonyeshe njia na ujasili wa kufanya hicho kitu tena kwa sekunde tu sifa na utukufu kwko ee mola
 
Kwa sababu mimi ni akili nyingi tayari nilisha sema hapo tumelishwa matango pori, ili .... unajua ili tembo umvishe koti usoni, lazima koti liwe kubwa sana, na huyu tembo awe kinda, lakini kama tembo huyu ambaye taswira imejengwa na mtoa post , basi lazima awe kiwete au tembo huyu awe amerogwa maana itabidi apige magoti na huyu jamaa apande juu ya.mkonga wa tembo ndio kwa upole amvishe hilo koti... otherwise this story will always remains ...... blabla tu
Tunga nawewe story yako basi ukimaliza utuletee tuisome
 
Back
Top Bottom