Ruksa Wanaume Kuwaoa Wanaume Wenzao Kanisani

this is real stupid, Marekani na Uingereza hawa watu ni super power nations kama wanaruhusu mchezo mchafu kama huu watatuambukiza mpaka katika nchi zetu za dunia ya tatu.
 
yAANI MIDUME MIZIMA INANYONYANA NDIMI WALA HAINA AIBU HALAFU MMOJAWAPO ANAENDA PIGWA TIQO NA ANAJIJUA MMMH UCHIZI HUU KWA HAKIKA TULIPO PANATISHA SANA ...EEEH MUNGU BABA MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VIUJAZAVYO UTUREHEMU NA KUTUPA MUONGOZO WA MSTARI ULIONYOOKA KUKUELEKEA WEWE NA MATENDO YETU NA FAMILIA ZETU NA VIZAZI VYETU VIKUELEKEE WEWE NA WALA VISIKUPE KISOGO KAMA TUYASHUHUDIAYO LEO . AMEN
 
JAMANI - HII SUMU IKISHAINGIA MAHALI - NI HATARI - WAWE WAKIRISTO AU WAISLAMU - HAO WANAHALALISHA KUWAFUNISHA NDOA KWENYE MAHEKALU YAO ....................... NI HUZUNI KUBWA KWANI KANISANI NI MAHALI BA IBADA - SASA MADHABAHU ZINATUMIWA NA MASHETANI KUFANYA UOVU HUO.......................

KUNA WALE WANAOFANYA KWA SIRI - KUNA WALE WANAOJULIKANA HADHARANI - KINA ANTI ALI............ANTI JUMA... ANTI JOHN... ETC.

MIE NAWAASA WAZAZI: ANZENI KUONGEA NA WATOTO WENU - WAKIKE NA WA KIUME ............ DUNIA NI GIZA NA WANADAMU WENGI WAKO GIZANI ..........WAMEKUWA VIPOFU ..........MABAYA WANAYAITA MEMA NA MEMA WANAYAITA MABAYA

MUNGU UMEFIKA WAKATI WA KUKUNJA KUNJA MBINGU NA NCHI KAMA KARATASI - amen!
 
Umasikini wetu wa akili na hela utatupelekea tuige nambo haya machafu, hata kama yameandikwa kwenye vitabu vya dini basi yasiwe hadharani au kufanyika kwenye nyumba za Mungu. Puuuuuuu!!!! Naomba serikali itoe msimamo wake rasmi baada ya kujadiliana na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini kabla malimbukeni hawajaiga.:banplease::ban::A S-fire1:
 
Aisifiye mvua imemnyeshea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Naogopa kusema kuwa inawezekana wewe ni mojawapo wa hao unaowatetea!:roll::roll::roll:
Gud news kwa mashoga duniani, hawa jamaa wanateseka sana kupata haki zao za msingi kama binadamu wengine.
 
nawe ni,,,,,,,,,,,,,,,,,,, samahani nauliza tu?


No ila kwangu mie binadamu wote ni sawa, na hakuna aliekamilika kila mtu ana mapungufu yake.

Wapo wanaume wenye hormone za kike, ulemavu huu wanajikuta wamekuwa mashoga, kwa nini tuwatenge walemavu? hujafa hujaumbika ndugu.
 
5411898.jpg

Ndoa kama hii iliyofanyika nchini Marekani itakuwa ruhsa kufanyika kanisani nchini Uingereza Monday, February 14, 2011 3:05 AM
Serikali ya nchini Uingereza inapitisha sheria wiki hii ambayo itabadili maana halisi ya ndoa na kufanunua kuwa ndoa si lazima iwe ni mwanamke na mwanaume bali watu wa jinsia moja nao wanaweza kuoana na pia ndoa zao kufungwa kanisani. Watu wa jinsia moja wataweza kufunga ndoa kanisani kwa mujibu wa sheria mpya zinazotarajiwa kutangazwa wiki hii nchini Uingereza.

Mashoga na wasagaji wataweza kufunga ndoa kanisani na sherehe zao zitaongozwa na wachungaji na viongozi wengine wa dini.

Mbali ya ruhusa hiyo, serikali ya Uingereza ina mpango wa kuibadili maana ya ndoa katika katiba ambapo ndoa ilikuwa ikijulikana kuwa ni kati ya watu wa jinsia mbili tofauti, mwanamke na mwanaume.
Lakini sio kwa wakatoliki!!!!!!!!
Sheria hiyo mpya itawawezesha wanaume kuwaita wanaume wenzao "Mume wangu" au "Mke wangu" hali kadhalika kwa wanawake nao wataweza kuitana mume na mke.

Kanisa la Anglikana limesema kuwa litakubalina na sheria hiyo na liko tayari kuruhusu majengo ya makanisa yake kutumika kuwafungisha ndoa mashoga na wasagaji.

Hata hivyo kanisa la Church of England limetangaza kuwa halitaruhusu ndoa kama hizo kufanyika kwenye makanisa yao.

Chama cha siasa cha Liberal Democrats ndicho kilichoipigia kampeni sheria hiyo ili kutimiza ahadi za usawa walizozitoa wakati wa kampeni ambazo ziliwafanya wapate kura nyingi kiasi cha kuweza kuunda serikali ya mseto na chama cha Conservative Party.

Jumuiya za kiislamu na jumuiya za kanisa katoliki zimeendelea kusisitiza kuwa mafundisho yao yanasema kuwa ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke.
Lakini si kwa wakatoliki
 
kumbe wakristo ni *******? Hehehe kudadeki itabidi nikiwakuta niwaombe tigo niwajaribu.


kwa hiyo na wewe unataka uwajaribu ulivyojaribiwa wewe? Inaonekana wapenda haya mambo weye eti? Wanipa wasi wasi weye maana wale wapendao kujionyesha mbele za watu huwa wanaficha kaudhaifu walikozaliwa nako wanaonekane wajuaji kumbe ndo mapunga yenyewe.
 
Back
Top Bottom