Ruksa Wanaume Kuwaoa Wanaume Wenzao Kanisani

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
5411898.jpg

Ndoa kama hii iliyofanyika nchini Marekani itakuwa ruhsa kufanyika kanisani nchini Uingereza Monday, February 14, 2011 3:05 AM
Serikali ya nchini Uingereza inapitisha sheria wiki hii ambayo itabadili maana halisi ya ndoa na kufanunua kuwa ndoa si lazima iwe ni mwanamke na mwanaume bali watu wa jinsia moja nao wanaweza kuoana na pia ndoa zao kufungwa kanisani. Watu wa jinsia moja wataweza kufunga ndoa kanisani kwa mujibu wa sheria mpya zinazotarajiwa kutangazwa wiki hii nchini Uingereza.

Mashoga na wasagaji wataweza kufunga ndoa kanisani na sherehe zao zitaongozwa na wachungaji na viongozi wengine wa dini.

Mbali ya ruhusa hiyo, serikali ya Uingereza ina mpango wa kuibadili maana ya ndoa katika katiba ambapo ndoa ilikuwa ikijulikana kuwa ni kati ya watu wa jinsia mbili tofauti, mwanamke na mwanaume.

Sheria hiyo mpya itawawezesha wanaume kuwaita wanaume wenzao "Mume wangu" au "Mke wangu" hali kadhalika kwa wanawake nao wataweza kuitana mume na mke.

Kanisa la Anglikana limesema kuwa litakubalina na sheria hiyo na liko tayari kuruhusu majengo ya makanisa yake kutumika kuwafungisha ndoa mashoga na wasagaji.

Hata hivyo kanisa la Church of England limetangaza kuwa halitaruhusu ndoa kama hizo kufanyika kwenye makanisa yao.

Chama cha siasa cha Liberal Democrats ndicho kilichoipigia kampeni sheria hiyo ili kutimiza ahadi za usawa walizozitoa wakati wa kampeni ambazo ziliwafanya wapate kura nyingi kiasi cha kuweza kuunda serikali ya mseto na chama cha Conservative Party.

Jumuiya za kiislamu na jumuiya za kanisa katoliki zimeendelea kusisitiza kuwa mafundisho yao yanasema kuwa ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke.
 
sidhangai, kwani haya yote yako kwenye Maandiko yalitabiriwa,kila kitu kimeandikwa kuwa utafika huo wakati ambapo watu wataoana kwa jinsia moja.
N abado itafikia kwa baba na mtoto kuoana .
Basi myaonapo hayo mjue kuwa Tuko katika siku za Mwisho.
Yesu anarudi mara ya Pili.
 
Hapa ndo tulipo tuendako kunatisha,
Soon mababa watapitisha sheria ya kuoa binti zao!

Isiwe tabu kwako mwanangu
Kama vile mpemba kula pweza au muhaya kula senene ima makonde kula jongoo zote ni raha mambo kama kawa.
 
Jumuia za dini mbili hizo ndizo dini sahihi maana koraan hawezi kurekebishwa Kama katiba ya nchi
 
Kumbe wakristo ni *******? Hehehe kudadeki itabidi nikiwakuta niwaombe tigo niwajaribu.
 
Kumbe wakristo ni *******? Hehehe kudadeki itabidi nikiwakuta niwaombe tigo niwajaribu.

Jaribu uone uhesabiwe mikunjo ya tigo kama imepungua tena kwa cherewa au biki sunnat minta juid pita anga hizo uone utakavyo nyonywa hiyo tigo tena ule na mapera kabisa na ukanye bila kunawa mwana maana brbr ya mkulanga haikosi kokoto ndio utajifunza suratul nisaa Aya ya15na16. inasemaje.
ACHA ZAKO HIZO WAKRISTO HAWAJALALA KAMA UNAVYO FIKIRi nitaenda kwenye Torati nitaomba toba kwenye Injili.I
sio wale Wakristo wa amina tu tumewachoka. mwana
SEMA INSHAALAH
 
Gud news kwa mashoga duniani, hawa jamaa wanateseka sana kupata haki zao za msingi kama binadamu wengine.
 
This is hell!!
I really hate gays,,:angry:
This marks as one of the sign of da world end..
Guys i reccomend turudini kwa sir god na tuache maasii.
 
Back
Top Bottom