December 13, 2019
Kemondo Bay, Tanzania
Serikali Kuanza Kuruhusu Makampuni kununua Mabehewa na Vichwa vya treni
Hatimaye serikali kupitia Waziri wa Uchukuzi Mh. Isaack Kamwelwe imetoa kauli kuwa itaruhusu kampuni binafsi kununua mabehewa / rolling stock na vichwa vya treni / Locomotives ili kuchochea ukuajia wa sekta ya reli nchini.
Serikali itajikita ktk kutengeneza na kuimarisha miundo mbinu ya reli, madaraja, signals, makalavati huku sekta binafsi wakitozwa ushuru mabehewa yao kutumia njia na mifumo ya reli.
Source: Millard Ayo