Ruka kichura chura uongeze uume na nguvu za kiume

Namba 26

JF-Expert Member
Oct 15, 2018
309
917
Mazoezi ya kichura chura yanasaidia sana kukaza misuli iliyo athirika kwa ajili ya punyeto

Pia yanasaidia kupeleka damu nyingi kwenye uume hivyo kuupa nguvu uume na kuufanya usimame kikamilifu

Zoezi hili ukilifanya mara kwa mara inasaidia kwa kiasi kikubwa kurefusha na kunenepesha uume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mazoezi ya kichura chura yanasaidia sana kukaza misuli iliyo athirika kwa ajili ya punyeto

pia yanasaidia kupeleka damu nyingi kwenye uume hivyo kuupa nguvu uume na kuuganya usimame kikamilifu

zoezi hili ukilifanya mara kwa mara inasaidia kwa kiasi kikubwa kurefusha na kunenepesha uume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichura kinaua sana magoti, piga squats ina himarish office vizuri kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutasikia mengi awamu hii chaajabu wanaotoa dawa za kuongeza maumbile ya kiume wao ndo wanaongoza kwa kuwa na vibamia kweli mganga hajigangi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom