Ruka kichura chura uongeze uume na nguvu za kiume

Mbona unapenda kuwapa watu adhabu hivi kisa wana vibamia au upungufu wa nguvu za kiume?
Utamuua Le Mtuz
 
Zoezi hili liende sambamba na kunenepesha waleti yalo pia.ukinenepa uume peke yake utarudia ugonjwa kwa kupiga tena nyeto.so dozi yake inakamilika ikienda sambamba na kuongeza uwingi wa hela mfukoni mwako
 
Mazoezi ya kichura chura yanasaidia sana kukaza misuli iliyo athirika kwa ajili ya punyeto

Pia yanasaidia kupeleka damu nyingi kwenye uume hivyo kuupa nguvu uume na kuufanya usimame kikamilifu

Zoezi hili ukilifanya mara kwa mara inasaidia kwa kiasi kikubwa kurefusha na kunenepesha uume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mm niliwahi kusikiaga kua kichura chura kinapunguza nguvu za kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kichura..
Hivi unajua kichura wewe au umezoea kile cha chooni wakati unakunya

Back
Top Bottom