Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

Naona dalili za kutaka kuifilisi Standard Chartered Bank,kweli kabisa hatuko salama kama watanzania
Nadhani sasa wengi wataanza kumuelewa Mh RAIS anaposema "Nchi hii imechezewa sanaaa! ...but not any more especially when I am in office"
 
Nadhani sasa wengi wataanza kumuelewa Mh RAIS anaposema "Nchi hii imechezewa sanaaa! ...but not any more especially when I am in office"

Inategemea mnachofikiria.Wengine hatujui hata hayo madeal mnachezaje.Na Mwenyekiti wa CCM naye ni wale wale.Hajagusa wizara aliyokuwemo.Hebu niambie ameshamtaja wa Kivuko kibovu?
 
Back
Top Bottom