Rugemalila adai aliwaandikia barua TRA kueleza jinsi benki ya Standard Chartered ilivyokuwa ikikwepa kodi

Uchunguzi wa hiyo kesi sote tunajua auwezi kamilika kwa sababu escrow sio hela ya serikari.
Ulisikia wapi hadithi hiyo? Au ulivyoambiwa na Kikwete ghadi leo elimu hiyo ikakaa kichwani. ESCROW! Subilia kibano.
 
Hii kesi sijui kwann haiishi ila inasemekana mhindi Seth alishatepeta tatzo lipo kwa Ruge anataka haki itendeke

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwafahamu Singa Singa, hao ni katika watu wagumu na wastahamilivu, wakorofi na wenye nguvu sana. Naona Ruge kishaanza kumuiga Seth, umeona picha hiyo, siku hizi naona anafuga ndevu kama Seth.

Kumbuka, huwa sikisii.
 
Sasa Mzee Ruge, wenzako tunataka uandike barua MKURUGENZI WA MASHTAKA ya kukiri uhujumu uchumi, utakatishaji, uwizi na uturudishie viroba 💰💰💰💰...wewe unaandika barua kwa KAMISHNA MAPATO??😂😂😂😂

Unanazingua ujue....

Everyday is Saturday..............😎
 
Huwafahamu Singa Singa, hao ni katika watu wagumu na wastahamilivu, wakorofi na wenye nguvu sana. Naona Ruge kishaanza kumuiga Seth, umeona picha hiyo, siku hizi naona anafuga ndevu kama Seth.

Kumbuka, huwa sikisii.
Upo kipenzi cha wenye uwerevu.
 
Najua Mzee Ruge kachoka kimwili na kiakili lakini Bado anatafuta upenyo aweze kufanya jambo la kujinasua. Ni muda Sasa upande wa mashitaka kuruhusu apate anagalau dhamana aweze kuwa nje Kwa ajili ya uangalizi wa afya yake ni mtu mzima sasa
 
Usibishe mfano wao ndio wamiliki wa mtambo wa IPTL baada ya mumiliki kushindwa kulipa mkopo Sasa Kama uliingizwa nchini ukiwa Mali ya benki kwa Nini benki isilipe ushuru wa forodha?
Kuuliza mwaswali sio ubishi.

Huo mfano wako naona bado utakuwa unapiga ramli tuu.
Ukweli uko kwenye hiyo barua waliyoandikiwa TRA
 
Misimamo itakwisha tu! Subilia akianza kupata kibano ndani ya seli. Kuna mambo hataweza hata kuyasimulia kwa wakili. Huwezi kubishana na kuonesha ujuaji kwa mtu anayekushikilia na kukulisha.
hiyo ni muendelezo wa dhulma tu....
 
Ulisikia wapi hadithi hiyo? Au ulivyoambiwa na Kikwete ghadi leo elimu hiyo ikakaa kichwani. ESCROW! Subilia kibano.
Busara ni kuacha siasa uchwara kwenye hiyo kesi nakuwapa watu uhuru wao.

You do know ata akinyang’anywa Rugemalila na Singasinga hiyo hela Standard Charter wanaisubiri na washafungua kesi mahakamani kuidai.

Huyo jaji alieumua wapewe hizo hela akuwa mpuuzi aliposema akija mdai mwingine PAP na Rugemalila ndio wamalizane nae.

Wanasheria wa serikari kwao kila kitu deal, wao wanaona ufahari kupanda ndege kwenda U.K. kusikiliza kesi ya Charter na kuchukua posho tu, at your costs. Kwa madai ambayo Rugemalila alitakiwa apambane nayo.

You don’t need to be an established lawyer like Ruddi Giulliani kuona serikari aiwezi shinda hizo kesi zote huku kwa Rugemalila na kule UK kwa standard charter. Wamejitia kati kwenye mzozo usiowahusu na hela si ya serikari ndio maana huo ushahidi auwezi kamilika.
 
Back
Top Bottom