Ruge, what goes around comes around.

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
2,932
4,534
Mimi sikushangaa na wala sikushtuka habari za Makonda kuivamia clouds na kufanya aliyoyafanya.
Kukuona wewe kaka yangu Ruge ukilalamika kwenye media juu ya ulichotendewa na RC ni jambo dogo Sana kwangu kuliko nilivyokuwa natarajia.
Kuna mdada mmoja nilisoma naye, akawa ameendelea na masomo zaidi hadi kufikia bachelor of economy, akawa amevamia familia ya mwanamke mwenzake na kumvunjia ndoa ,kisa tu alikuwa na pesa akifanya kazi NBC Bank, nilimshauri Sana kuachana na mume wa mtu ila hukunisikia hadi tukawa tumegombana

akifanikiwa kuoana na huyo mwanaume, na wakazaa watoto wawili, Napoandika hapa hayuko tena na huyo mwanaume ameachwa na watoto wawili anahangaika tu na kazi alifukuzwa, majuzi akanifuata nyumbani analia, akikumbuka ushauri wangu.
Binti machozi naye alipora mume wa mtu hata wewe ni shahidi, media zikawapamba wakapambika, wakalewa sifa za magazeti, miaka ikaenda, Leo wako wapi?
Wameishia kutukanana tu, the power of karma ipo kazini.
Ruge, mkulu alipokuwa akiwapigia simu mlidhani dunia yote ipo kiganjani kwenu, sisi tukilia na kulalamika juu ya nchi kuongozwa Kwa mihemko ya kisiasa pasipo kufuata sheria nyie ndo mkawa mnatuona hatuna akili.
Sasa kiko wapi kaka yangu? mimi binafsi serikali ya ccm kupitia PPF imenidhulumu milioni 10 ,wakati nililipa kodi ya mil 19.8 Kwa miaka tisa ya utumishi wangu.
Ukikuta watu wanalia na wewe lia, siyo kucheka na kujifanya huoni, hii nchi ni yetu sote, ni meli tumepanda wote, baadhi yenu mnaitoboa meli mkidhani kuna watu watazama kumbe tunazama wote.
Nadhani mmepata somo kubwa sana.
 
Inabidi Clouds wamuombe msamaha mwana wa mfalme wa kuwaingilia usiku akiwa na askari na silaha.
 
Mkuu kenge huwa hasikii mpaka atoke damu masikioni!!
 
mkuu hatutafasiri hivyo methali, bora ungesema "kwigwa kwa mburu mpaga mininga mgutu" msemo wa kiswahili ni "asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na dunia"
 
images-13.jpeg

.................................Mie bado ninaamini mda utaongea zaidi.,ngoma bado mbichi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom