Ruge Mutahaba kuliamsha dude Kesho 360 Clouds tv

Clouds media kupitia mkurugenzi wake Ruge Mutabaha imeanzisha kampeni mpya iitwayo "kataa kuwa kaa" akifafanua ruge alisema

Kaa ni kiumbe ambae ukimueka peke yake kwenye ndoo au kapu hutoka nje ndani ya mda mchache. Lakini ukiwaweka wengi alafu ukae hata siku 3 bila kufunika huwezi kuta hata 1 ametoka kwasababu wana tabia ya kuvutana, mmoja akitaka kutoka wengine wanamvuta

Akifafau zaidi Ruge amesema tarehe 25 nov itakuwa kilele cha Fieata Dar es Salaam na wasanii watakao tumbuiza wote watakuwa local na kuyataka makampuni au taasisi nyingine kutofanya matamasha ya mziki siku hiyo ili watanzania wote wapenda burudani wakawaunge mkono vijana wa bongo fleva.

Ruge alitoa mfano " sisi tunafanya fiesta tarehe 25 utakuta wengine nao wanafanta tamasha tarehe iyo iyo tena la bure huko ndo kuwa "Kaa" ambao hatuutaki yaani kuvutana kwenda chini

Tunaomba tarehe 25 mtu mwingine asifanye tamasha la mziki Dar es salaam
"Kataa kuwa kaa"
Ngoja kwanza na yeye aonje mateso aliyowafanyia wenzake halafu ndio tutashiriki hiyo kampeni ya kukataa kuwa kaa.

Au ushauri wa bure Ruge angetuomba radhi kwanza Watanzania kwa matendo aliyoyatenda uko nyuma tungemsamehe kiroho safi, lakini inavyoonesha andhani wote hatuna akili na hatuna kumbukumbu.

Mjinga sana huyu jamaa licha ya kwamba ana talent nzuri.
 
Kesho pia kuanzia saa mbili asubui mkurugenzi wa EFM majey au majizo for shizzo atakua anakiwasha huko EFM radio na TV nazan wamezima mziki sasa wanawasha kiki ngoja tusubirie by the way mkuu GENTAMYCINE kuna kijana alikua anakutafuta week end alisema anataka battle na Wewe vp ulimcheki au
E Fm na TV wananichekeshaga sana wanavyowaiga mawingu
 
Sasa si umeona kashoboka na Mimi halafu kapigwa Umeme / Ban Yeye na sasa anaisikilizia? Unajua Mkuu labda hujajua tu ila amini usiamini kuna Watu humu wamebuni mbinu kwamba ili wawahi kujulikana na Members na waanze kufuatiliwa mara kwa mara basi ni lazima wahakikishe ama wananichokoza au wanaanzisha Ligi na Mimi na pale ninapowapa dozi zangu za maneno ya Shombo ndiyo na Wao sasa Nyoyta zao zinawaka na hatimaye kuwa maarufu. Mkuu hivi unadhani nilivyoamua kuitunga mwenyewe hiyo Signature yangu ya ' Purely Talented and Charismatic Fella ' nilikosea? Hapana chezea GENTAMYCINE.
HR 666 alikunyoosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom