Ruge Mutahaba kubali kuwa mlikosea

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,684
2,157
Leo kuna taarifa ya TCRA kuwapa adhabu ya kuwaomba radhi watanzania na watazamaji wa kipindi cha take one kinachorushwa na clouds tv kwa kukiuka maudhui ya utangazaji. Katika taarifa hiyo mkurugenzi wa vipindi wa kituo hicho Bw. Ruge Mutahaba anaonekana kusema kama wameonewa na anasema huenda wakakata rufaa.

Binafsi naona adhabu waliyopewa ni ndogo sana kwani hapa Tanzania hakuna sheria inayoruhsu ndoa za jinsia moja. Kwa walioona yale mahojiano na yule shoga watakubaliana na mimi kuwa ule ulikuwa ni "uhamasishaji" wa ushoga wala sio kupinga jambo hilo.

Yeye anasema jamii haitakiwa kuogopa kutaja jambo hilo hadharani. Lakini kama wangelenga kuifundisha jamii ubaya wa jambo hilo nadhani (na naamini ndo ingekuwa sahihi) wangetafuta mtu aliyewahi kujihusisha na jambo hilo halafu akaachana nalo na hivyo kipindi kizima huyo mtu angejikita kuelezea jinsi tabia hiyo ilivyombaya na kwanini yeye aliamua kuachana nayo, mabaya gani aliyopitia na mazuri gani anayo yaona baada ya kuacha "ushetani" huo. Hapo hadhira iliyokusudiwa huenda ingejifunza kitu kuliko walivyofanya kwa kumpa promo yule shoga na akaongea kwa kujiamini kabisa eti anapenda na mara nyingine anajiuza mwili wake na eti anatamani apewe mfadhili aweze kupandikizwa mimba!.. hivi kweli hapa Bwana Ruge hujaona mlipokosea tuu!?
 
Nilijiuliza sana maana ya hii mijadala wanayotaka kuianzisha clouds kupitia kwa huyo mwanamke asiyekuwa na huruma na likipindi lake nikagundua kwamba wamepewa kazi ya kubuild illusion ili hao wahamasishaji wajue wapi wanaanzia kuibana jamii yetu na nchi kukubaliana na swala hili ama misaada iondolewe maana sitaki kuamini kuwa yule hakuona matatizo yalioko kwenye jamii mpaka aanze kupromote ushoga na kuwaonea imani ila kwa serikali nadhani njia nyepesi ni kufuta kabisa kile kipindi na jamii imdharau kabisa huyu
 
Leo kuna taarifa ya TCRA kuwapa adhabu ya kuwaomba radhi watanzania na watazamaji wa kipindi cha take one kinachorushwa na clouds tv kwa kukiuka maudhui ya utangazaji. Katika taarifa hiyo mkurugenzi wa vipindi wa kituo hicho Bw. Ruge Mutahaba anaonekana kusema kama wameonewa na anasema huenda wakakata rufaa.

Binafsi naona adhabu waliyopewa ni ndogo sana kwani hapa Tanzania hakuna sheria inayoruhsu ndoa za jinsia moja. Kwa walioona yale mahojiano na yule shoga watakubaliana na mimi kuwa ule ulikuwa ni "uhamasishaji" wa ushoga wala sio kupinga jambo hilo.

Yeye anasema jamii haitakiwa kuogopa kutaja jambo hilo hadharani. Lakini kama wangelenga kuifundisha jamii ubaya wa jambo hilo nadhani (na naamini ndo ingekuwa sahihi) wangetafuta mtu aliyewahi kujihusisha na jambo hilo halafu akaachana nalo na hivyo kipindi kizima huyo mtu angejikita kuelezea jinsi tabia hiyo ilivyombaya na kwanini yeye aliamua kuachana nayo, mabaya gani aliyopitia na mazuri gani anayo yaona baada ya kuacha "ushetani" huo. Hapo hadhira iliyokusudiwa huenda ingejifunza kitu kuliko walivyofanya kwa kumpa promo yule shoga na akaongea kwa kujiamini kabisa eti anapenda na mara nyingine anajiuza mwili wake na eti anatamani apewe mfadhili aweze kupandikizwa mimba!.. hivi kweli hapa Bwana Ruge hujaona mlipokosea tuu!?
Mm naungana na ruge. Tangu mwanzo nilikua nafikiria jambo alilofanya zamaradi kuwa la kishujaa sawa na mwandishi anayerusha habari za vita akiwa ndani ya uwanja wa vita. Kilichotokea ni kwamba sisi wapokeaji au wasikilizaji ndio tuliotafsiri vibaya lile tukio. Kama shoga alikua anaongea mbinu zake za kufanikisha mambo yake inatoua urahisi kwa mchukua hatua za kupinga kujua anaanzia wapi. Tatizo la watanzania mihemko mingi. Tunadhani kutokomeza ushoga ni kuzuia kuwaona kwenye runinga au kuwasikiliza kwenye radio. Tujifunze kuukubali ukweli
 
huoni kama upande wa kuhamasisha ulizidi mizani ya kuonya na kukemea kwa muktadha wa kipindi kilivyokuwa?
 
Unaweza kuona upo sahihi kwa wakati huu, na wakati ujao ukawa hauko sahihi. Fikra za mtu ziheshimiwe kwa sababu lengo letu wote ni kujenga, na kujenga kuna aina nyingi ikiwemo, kujenga kwa tope, matofali ya kuchoma, au matofali ya cement.. Lengo ni wote tuwe ndani na kuhepukana na balaa, Clouds wao wametumia ujenzi wa aina yao kwa kuweka wazi katika jamii kwanza, kisha vyanzo na aina za ushoga, ili jamii wawajue mashoga ni watu wa aina na gani?. Na njia zipi tutengeneze kukabiliana na ushoga, hakuna station inayoongoza Tanzania kama Clouds kwenye entertetment.. Na hakuna mashoga wengi kama kwenye entertentment.. Hivyo ni sahihi kwa serikali kukaa meza moja na Clouds na kushirikiana kwa maana wao ndio wanaojua umbwe la mashoga. Maana ni mabingwa kwenye uburudishaji Tanzania na uko ndio kuna zaidi ya vibweka na maajabu yote.

NB: Mh Ruge nakupa pongezi sio za kinafi, maana mimi sio mnafiki kama hao wanaupinga ushoga moyoni uku hata kuuelezea hawawezi, ila wewe umethubutu na muda wa kipindi ukatoa. big up sana.
 
Ruge Hawezi kukubali sababu hisia zimezidi maamuzi, huyo mwanamke mtangazaji(Zamaradi) wa hicho kipindi ni mpenzi wake wana mtoto kwa hiyo no ngumu kukubali kuwa mpenzi wake alikosea, ndio matatizo ya kuchanganya mapenzi na kazi hata linapokuja suala la kuchukua maamuzi yanayomuhusu mpenzi wako lazimahisia zizidi busara.
 
Leo kuna taarifa ya TCRA kuwapa adhabu ya kuwaomba radhi watanzania na watazamaji wa kipindi cha take one kinachorushwa na clouds tv kwa kukiuka maudhui ya utangazaji. Katika taarifa hiyo mkurugenzi wa vipindi wa kituo hicho Bw. Ruge Mutahaba anaonekana kusema kama wameonewa na anasema huenda wakakata rufaa.

Binafsi naona adhabu waliyopewa ni ndogo sana kwani hapa Tanzania hakuna sheria inayoruhsu ndoa za jinsia moja. Kwa walioona yale mahojiano na yule shoga watakubaliana na mimi kuwa ule ulikuwa ni "uhamasishaji" wa ushoga wala sio kupinga jambo hilo.

Yeye anasema jamii haitakiwa kuogopa kutaja jambo hilo hadharani. Lakini kama wangelenga kuifundisha jamii ubaya wa jambo hilo nadhani (na naamini ndo ingekuwa sahihi) wangetafuta mtu aliyewahi kujihusisha na jambo hilo halafu akaachana nalo na hivyo kipindi kizima huyo mtu angejikita kuelezea jinsi tabia hiyo ilivyombaya na kwanini yeye aliamua kuachana nayo, mabaya gani aliyopitia na mazuri gani anayo yaona baada ya kuacha "ushetani" huo. Hapo hadhira iliyokusudiwa huenda ingejifunza kitu kuliko walivyofanya kwa kumpa promo yule shoga na akaongea kwa kujiamini kabisa eti anapenda na mara nyingine anajiuza mwili wake na eti anatamani apewe mfadhili aweze kupandikizwa mimba!.. hivi kweli hapa Bwana Ruge hujaona mlipokosea tuu!?

Huwa naona aibu sana kuwatania Watani zangu wapendwa Wahaya hivyo ngoja nipite tu Mkuu.
 
HA ha ha nimemsikiliza zamalad mwenyewe ktk ayo tv naona katumia maneno makali sana dhid ya waliomkosoa kwamba et upeo wao wa kufikili ni mdogo, ikumbukwe kwamba ndan ya waliokosoa wakiwemo TCRA, MAKONDA na BAADHI YA WANANCHI hii kauli sikuipenda na inatafsiri pana ingawa yeye na upeo wake mkubwa kama anavyodai kashindwa kuliona hilo coz had rais naye upeo wake ni mdogo kwa mujibu wake kwan ndiye aliye mteua mh makonda
my take;
unapotaka kuzungumza jambo ebu kua na uwanja mpana wa kufikilia kabla kutenda na sio unaroporopo tu kisa una uhuru wa kuongea
 
Back
Top Bottom