Ruge Mutahaba atakumbukwa daima Clouds Media Group

Hamna bado hawajafikia viwango vya Ruge Mfano 360/wamemuondoa Baby kabae alikuwa kiungo muhimu sana huyu kija bado mnoo....kingine njiapanda ni stories za kuumiza tu Mimi sisikilizi tena Ruge was genious njia panda aliichanganya na stori za mabaharia sasa hivi wameweka watu wa magonjwa tu not bad ila hakina mvuto as unajitune duu story ya ugonjwa ugonjwa tu..
Kuna timu iko vizuri kwa utendaji, kazi inaendelea.
 
Ninakuomba Mwenye RFA warudishe wale watangazaji wetu

Ukiona kitu kinakubalika uchaggani sio mchezo

Redio one sisi kwetu uchaggani kwa ajili ya matangazo ya vifo tuu

RFA na Kiss Fm zirudi tena


Atakama unataka Harambee ya buku buku sisi Watanzania Tutacahangia ili ufanikiwe nakuomba sana
Ngoja tuongeze maombi...
 
Tatizo naweza kusema hapakuwa na mifumo mizuri aliyoachaa pamoja pia kukosekana Kwa watu wenye sifa Kama yeye
 
Sio tu pengo la ruge (rip) pia dunia inahama uko kwenye issue kama radio na tv watu saiv wamebase zaidi kwenye social media na mayoutube radio wasikilizaj wachache sana asa mjini
 
Mimi ni mpenzi wa muda mrefu wa vipindi mbalimbali vya CMG. Kabla ya kuondoka kwa Ruge ninafahamu uzuri na ubora wa vipindi CMG ulikuaje na sasa hali ikoje. Kiukweli CMG IMEDORORA!

Haina tena vile vipindi vya amshaamsha ambavyo wapenzi wengi walipenda, mfano asubuhi unapoenda kazini ilikua lazima ufungulie redio ya gari kusikiliza.

Hata ofisini ilikuwa lazima uwashe televisheni uangalie angalau CLOUDS 360. Siku hizi nafikiri watakua wamebaki wachache sana wanao fanya hivyo.

Jitahidini mumtafute mtaalamu mwingine kama Ruge, vinginevyo hali si hali. Anayekueleza ukweli anakupenda!

Tafakari
Sasa hivi hapo Mjengoni kilichobaki na wanachokiweza ni Kuambukizana tu ' Dally Kimoko Solo Guitar Viruses ' kutokana na kupenda Kuzungukana, Tamaa na Kujirahisi Kizembezembe tu kwa Wadau na Wadaawa.
 
Kila jumapili zile story za sitosahau dah long tyme RFA ilibamba mbaya
Kumbe hadi Barwan Muhuza alikuwa RFA duh!

Fred Waa
Rahabu Fungo (Fred)
Elia Migongo

Vipindi nilikuwa napenda ni
Search line (kale kabiti)

Indian flavor (sijui kiliitwaje)

Wikiendi (mziki mwanzo mwisho kuanzia Ijumaa hadi Jumapili)

Mambo mambo

Bangua bongo (ndani ya mambomambo)

Uliza ujibiwe

Je wajua?
Nk
 
Back
Top Bottom