kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,573
Toka kifo chake kutokea maombolezo mengi yametekwa na wanasiasa kuliko wasanii an wadau wa muziki Tanzania! Kilio na maombolezo vimeanzia Magogoni mpaka Lumumba.
Ukiacha shutma anazotupiwa marehemu enzi za uhai wake hasa unyonyaji na dhuluma kwa wasanii hasa wakongwe waliotamba 2000's hadi 2009 ambazo zimemwelemea marehemu kuliko salamu za pongezi toka kwa wanasiasa wakiongozwa na Ikulu ya magogoni wakishirikiana na wale wa mtaa wa Lumumba. Kuliko CMG na Basata
Hakuna sheria inayokataza kumsema vibaya marehemu zaidi ya kanuni tuu za kimaadili ila ukweli lazima usemwe kua marehemu alitumia vizuri fursa ya wakati ule kupiga hela kwa mgongo wa wasanii huku wengi wakisota baada kudai maslahi yao!
Cavarage ya media imebase kwa wanasiasa kuliko wasanii na wadau wa muziki. Magu na Makonda wapo front line kushika headline kwenye msiba! Familia imeiachia serekali kutawala shughuli nzima za msiba na mazishi. Wasanii wamepigwa ganzi hata waliokua upande wa Ruge hawana cavarage kwenye media!
Alikula vizuri na kucheza karata yake kwa kua KADA mtiifu wa chama tawala viongozi na serekali yake. Master mind wa kuorganize wasanii kusaport chama tawala kwenye kampeni. Marehemu amekula share yake na amefanya kazi yake katika enzi za uhai wake
R. I. P Ruge Mutahaba