TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

Sijawahi hata kumuona lakini nayahisi maumivu ya watu waliosimama kupitia yeye, ya watu walio tembea kupitia yeye, ya waliolisha familia zao kupitia yeye... N mto uliokua na Channel nyingi lakini GHAFLA umefungwa na kila aliekua anategemea maji ya MTO ule hakika yupo ktk MAJONZI.
UPUMZIKE KWA AMANI RUGE,Hauoni maandishi yangu lakini MOYO WANGU UNAUMIA.pumzika brother.
 
Kuna waandishi habari wengi wa kutaka kuonekana wao ndo wakwanza kutoa habari au kusikia kifo cha huyu mtu DAHHh mnaboa.
 
Hakuna Uchungu Makali kama kuzika Mwana, ndugu zangu kusikieni tu, Baba ameshindwa kuvumilia Kabisa, imebidi
Akitoe kilicho moyoni kwa Machozi maana hayasemeki mbele za watu Machungu hayo

Pole sana Prof Mutahaba, pole sana Baba mzazi wa Marehemu.

Picha hii imenitia Uchungu sana.

Screenshot_2019-02-27-16-33-57-1.png
 
Naomba kuuliza

ruge amekufa kifo cha kawaida?


ruge dakika za Mwisho za uhai wake alisema nini?


au alikata Roho ghafla?

Je ruge alijua anaondoka duniani na hatarudi Dar tena milele na milele?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom