Ruge Kumwekea Jay Dee Pingamizi Mahakamani kuna hili nyuma ya pazia:

KennedyMmari

JF-Expert Member
Dec 12, 2012
979
183
Wanajamvi,
Kuna tetesi za chini kwa chini nazisikia kuwa Ruge na Kusaga wamemwekea Lady Jay Dee pingamizi kutoendelea kutoa Waraka/Nyaraka zinazowahusu wao Clouds Media Mahakamani kwasababu Walihofu kuwa Lady Jay Dee angetoa Nyaraka kuwa wanahusika na Biashara za Madawa ya Kulevya kwa kuwatumia Wasanii wengi hapa Tanzania.Hii kitu ni Nyeti sana,na kama kuna ambaye anaweza kujazia nyama hapa nitashukuru kuujua Undani.
NB:Hizi ni Tetesi,kwahiyo tusijump kwenye conclusion.
 
sijui kama tanzania kuna any PI(PRIVATE INVESTIGATOR) who will turn everyone stone for the public to know what is behind the cloud media, wapi mwanahalisi au ndo limekula life time ban
 
Ndo biashara yao kumbe! Lakini inaweza ikawa kweli..au ni uzushi?
Tusubiri tuone...
 
Kazi kwelikweli

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
inajulikana sana hilo clouds wapo na viongozi wakubwa tu kwenye hiyo biashara kama mnakumbuka jamaa walimkomalia kalapina na pina mwenyewe hakapiga marufuku nyimbo zao kupigwa na clouds baadae wakatoa HIP HOP BILA MADAWA INAWEZEKANA ambao hata siku moja aikuweza kuchezwa clouds HUU NI UKWELI MTUPU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom