Nenda Kibaha pale utapata orodha ya viongozi wa eneo hiloMkuu wa mkoa wa pwani ni nani? Mkuu wa wilaya ya Rufiji ni nani ...na mbunge wao ni nani..naomba niwajue
Kiongozi bora ni yule anayejenga mfumo madhubuti wa taasisi anayo/anazoongoza.Tatizo siyo tu kuwepo kwa Kiongozi aliyekosa Mipango, Bali kiini cha matatizo kama haya Ni Kuvurugika KWA Mfumo mzima WA Serikali. Tz hakuna Taasisi Imara, Madhubuti ambazo zipo competent ktk utendaji. Rais peke yake hawezi kufanya mambo yote ktk nchi Bali Taasisi husika ndio zingekuwa responsible ktk kutekeleza kazi zake kama hizi za kujenga Shule, hospitali, masoko , n.k.
KWA hali halisi ilivyo Tz, kana kwamba Rais ndiye amekuwa kila kitu, Ni mtaalamu WA kila gani, kiasi kwamba hakuna jambo lolote lile linaweza kufanyika bila ya Rais WA nchi kuridhia kwanza, hopeless kabisa.
Hawezi kubadili na hataweza kwa sababu sidi wanyonge tunakatwa pesa kubwa sana na heslib na deni halilipikiInaonyesha kazi iliyo mbele ya rais, aungwe mikono afanikishe na kubadilisha haya yote.
Hawezi kubadili na hataweza kwa sababu sidi wanyonge tunakatwa pesa kubwa sana na heslib na deni halilipiki
Kuungwa mkono wa deni la heslibu kutolipika? Linaongezeka.Mtu mmoja hawezi yeye pekee yake, rais anahitaji kuungwa mikono kwenye juhudi zake ili afanikishe.
Tena kwa cash!!!!!"Tunanunua ndege,na kujenga Standadi gegi na stigulaz goji.....elimu baadae"
Kuungwa mkono wa deni la heslibu kutolipika? Linaongezeka.
Kiufupi hatuna rais
HAhhaMkimpa uhsirikiano mheshimiwa bla kumkwamisha au kuponda kila nzuri analolifanya, nchi itakua kiuchumi hadi ushangae hayo madeni yakifutwa na pia vyuo kuwa bure bila karo.
HAhha
KWANi nani hampi ushirikiano?
Mlitaka mimi ndio niwajengee choo? Waende wakajisaidie kwenye choo cha diwani au mkurugenzi wa halmashauri...Shule ya Msingi King'ongo inakabiliwa na changamoto nyingi lakini kubwa zaidi ni ile ya wanafunzi wake 320 kati ya 444 kusomea chini ya miti na kukaa chini huku wanafunzi 124 pekee ndio ambao wanasomea darasani tena ni wale ambao wana Mitihani ya Taifa.
Shule hii ipo katika Kata ya Muhoro iliyopo Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani ambapo wanafunzi hao wote 444 wanatumia choo kimoja kilichozungushiwa makuti chenye matundu mawili tu tena hadi walimu wao 9 wanatumia choo hicho, huku wengine wakilazimika hata kujisaidia porini.
Source: millardayo
View attachment 1224757
Kuna kibwagizo zilipendwa... "sifa inaua..."Jana roho iliniuma sana kwa mzee wetu kutoa milioni 5 Tsh cash kwa ajili ya kusaidia shule ya Zambia na wakati ndani ya nchi yetu, bado changamoto kwenye sekta ya elimu ni nyingi!
Hakuishia hapo, bado amewapa tani 25 za korosho bure! kati ya tani 50 walizohitaji kwenda kuanzisha hicho kilimo cha korosho nchini mwao.
Kulikuwa kuna sababu gani ya msingi ya kuwapa hao Wazambia korosho za bure na wakati wana uwezo wa kununua tani zote 50? Hizi sifa za huyu mtawala wetu kwa nini hazina mipaka? Hivi tumeshakua donor country mapema kiasi hiki!