Ndugu zangu nimesoma gazeti la nipashe linaonyesha imekoshindwa kupata sh trln 7 kutokana na kodi kwani kuna rufani kwenye bodi ya kodi na Mahakama kuu na zimekaa mda mrefu. Swali la kujiuliza ni kwanini wahusika wa maamuzi hawatoi haki kwa wakati?Je Bunge letu linafanya nini kuhakikisha tatizo hili linakwisha ili kila mtu apate haki yake? Je sikwamba waanaodaiwa kodi wanawapa hongo watoa haki ili kesi zisiende mbele?
La muhimu..nini kifanyike kuhakikisha kesi hizi zinafikia mwisho ili serikali au wafanya biashara wapate haki kwa wakati?? Naomba tujadili kwani hili taarifa ya CAG inatisha. jisomee http://ippmedia.com/sw/habari/rufani-zazuia-trl-7-tra