Rufaa ya viongozi Wakuu wa BAVICHA

BAVICHA Taifa

Senior Member
Jul 25, 2013
117
661
Leo Agosti 31, 2020 KM wa Bavicha Mhe. Nusrat Hanje na wenzake 7, wapo katika mahakama ya Mkoa wa Singida kukamilisha taratibu za dhamana baada kushinda rufaa yao Agosti 26, 2020 Mahakama Kuu Dodoma.

Kuna njama ya kuwafutia kesi ya msingi na kuwakamata tena, tunaendelea kufuatailia kinachoendelea Mahakamani.

IMG_20200831_134254.jpg
 
Back
Top Bottom