Rufaa ya Lema Arusha: Kesi yaahirishwa hadi Oktoba 2, 2012

hahahaaah!! Ila uwe makini maana hapo wanapaweza machalii wa huko tu, niliwahi kukoswakoswa kuibiwa hapo.
 
Jamani humu ndani kuna mambo!
Dr. Jk
Dr. Mrema
Prof Majimarefu
Prof Ritz...
 
Umati mkubwa wa makamanda ndo unatoka hapa mahakamani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Aksante sana kamanda Mungi. Tulioko nchi za jirani tunafaidika na update zako!
 
Last edited by a moderator:
Jana nimepita maeneo hayo nikawakuta wadada kadhaa wamesimama ukutani wengine wakiongea na wateja wao.

Ila umenistua kidogo uliposema ulikoswakoswa kuibiwa, kwani wanakaba wapita njia au ukiongea nao ndo umeingia mkenge?
 
Maandamano makuawa,lema anasukumwa katika benzi lake kama la nyerere mwaka 64..tupo mitaa ya kuelekea clock tower
 
jamani tushilikishe ubongo unapo kuwa unataka kuweka bandiko sasa wewe unae weka majina ya wanaofatilia thread hii inatusadia nini wanajf zaidi ya kero hasa kwa sisi tunao tumia simu..kama huna cha kuandia si ukae kimya ubaki kufatilia tu.
 
Jana nimepita maeneo hayo nikawakuta wadada kadhaa wamesimama ukutani wengine wakiongea na wateja wao.
Ila umenistua kidogo uliposema ulikoswakoswa kuibiwa, kwani wanakaba wapita njia au ukiongea nao ndo umeingia mkenge?
ha ha ha haaah!! Sio kuibiwa kwa kukabwa mkuu, wale wapo kimaslahi ukijisahau unaweza kujikuta chumbani upo na shuka tu..
 
Back
Top Bottom