Mpaka jana Tume walikuwa hawataki kurudisha jina lake.Wadau naomba kuuliza kama mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kupitia CHADEMA, mheshimiwa Susan Limbeni Kiwanga kama rufaa yake ya kupinga kuondolewa kugombea Ubunge ilishatolewa uamuzi na tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)?
Majibu gani hawa wote walishajibiwa wanawadanganya tu. Hao wabunge waaliopita bila kupingwa wapo orodha ya wabunge 20 Morogoro niHalafu majimbo yote mawili ya Kilombero na Mlimba tume hawajatoa majibu ya rufaa. Na sehemu hii Lissu alipata mapokezi makubwa sana.
Ilisharudi, alishapigwa chini asiwazingueBado rufaaa haijarudi na muda unakwenda speed
Tume hadi leo iko kimya kama hamna jambo.Wadau kuna anayejua juu ya hii rufaa?