Rufaa ya kugombea Ubunge wa Suzan Kiwanga

mmakinitz

Senior Member
Sep 16, 2020
192
368
Wadau naomba kuuliza kama mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kupitia CHADEMA, mheshimiwa Susan Limbeni Kiwanga kama rufaa yake ya kupinga kuondolewa kugombea Ubunge ilishatolewa uamuzi na tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)?
 
Kama karudishwa safi sana, mgombea wa ccm ana kibarua kizito! Maana nimeona kwenye Twitter Suzana akionyesha jinsi stakabadhi yake ilivyoghushiwa tarehe ya malipo.
 
Wadau naomba kuuliza kama mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kupitia CHADEMA, mheshimiwa Susan Limbeni Kiwanga kama rufaa yake ya kupinga kuondolewa kugombea Ubunge ilishatolewa uamuzi na tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)?
Mpaka jana Tume walikuwa hawataki kurudisha jina lake.

Akatoa mapicha yakionyesha msimamizi wa uchaguzi alitemper form ya mgombea na kumwekea pingamizi.
 
Halafu majimbo yote mawili ya Kilombero na Mlimba tume hawajatoa majibu ya rufaa. Na sehemu hii Lissu alipata mapokezi makubwa sana.
 
Keshapigwa chini. Rufaa zote zimeshaamuliwa na CCM wameshapita majimbo 20 likiwemo hilo la mama mzembe. Hapo wanawazuga tu wanachama wao kwa vile wanajua ni nyumbu mtaamini tu wanachowadanganya.

Huyo Kunambi wa Mlimba yupo kwenye orodha ya wabunge 20.

Wa Morogoro mjini ndio karudishwa anaitwa Minja
 
Halafu majimbo yote mawili ya Kilombero na Mlimba tume hawajatoa majibu ya rufaa. Na sehemu hii Lissu alipata mapokezi makubwa sana.
Majibu gani hawa wote walishajibiwa wanawadanganya tu. Hao wabunge waaliopita bila kupingwa wapo orodha ya wabunge 20 Morogoro ni
Mvomero
Gairo,
Vijijini kwa meneja wa Diamond,
Kilosa kwa Kabudi,
Mlimba nk.
 
Hii siyo tume in tumwa.Inatumwa na maccm kufanya lolote.Haifai hata kidogo.Chadema nao wamekuwa watu wa matamko bila vtendo.mnaboa sana.Nende na nyomi yakutsha skumoja kwa msima mmwambie tunakwenda na familia yako. Sasa kila ngoma ya tumwa chadema mnacheza tu.Sasa so mseme basis kwa vtendooo ahaa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom