Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Uchaguzi wa rais na wabunge wa 2020 unautambua kwamba ulikuwa free and fair?
Afu na wewe siku hizi naona umevurugwa.
Uache mambo ya kuchomekea.
Jielekeze katika hoja.
Hapa tunajadili: Kina Mdee warusidhiwe uanachama wao na Baraza Kuu au hapana?
Hizo story zingine baadaye!
 
Afu na wewe siku hizi naona umevurugwa.
Uache mambo ya kuchomekea.
Jielekeze katika hoja.
Hapa tunajadili: Kina Mdee warusidhiwe uanachama wao na Baraza Kuu au hapana?
Hizo story zingine baadaye!
Suala la mzozo wa uanachama limekuja baada ya wao kukubali kuwa wabunge.

Suala la wao kukubali kuwa wabunge limekuja baada ya uchaguzi na mzozo uliotokea kuhusu uhalali wa uchaguzi.

Hivyo, kuna mstari wa moja kwa moja unaounganisha suala la kurudishiwa uanachama na suala la uhalali wa uchaguzi.

Ndiyo maana nikakuuliza, uchaguzi wa rais na wabunge wa 2020 Tanzania ulikuwa free and fair?

Usikimbie kujibu swali.
 
CCM hakuna mikwaruzano etie.hahaaaa.
Wapi nimesema CCM hakuna mikwaruzano?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Two wrongs do not make a right.

CCM wakila mavi utaona ni sawa CHADEMA wale mavi kwa sababu CCM wanakula mavi?

Kama CCM na CHADEMA kote kuna mikwaruzano, kwa nini wananchi waone haja ya kuitoa CCM na kuiweka CHADEMA?
 
Suala la mzozo wa uanachama limekuja baada ya wao kukubali kuwa wabunge.

Suala la wao kukubali kuwa wabunge limekuja baada ya uchaguzi na mzozo uliotokea kuhusu uhalali wa uchaguzi.

Hivyo, kuna mstari wa moja kwa moja unaounganisha suala la kurudishiwa uanachama na suala la uhalali wa uchaguzi.

Ndiyo maana nikakuuliza, uchaguzi wa rais na wabunge wa 2020 Tanzania ulikuwa free and fair?

Usikimbumie kujibu swali.
Swali hili ni irrelevant kwenye mada ya sasa.
Hata kama ilikuwa neither free nor fare, it doesn't follows that, kusiwepo na wabunge wa viti maalum kutoka Chadema.
 
Atanikoma,huyo ni Ester
Utakuwa unamzimia sana Esther!
Sio!
Huyu hapa...
1609295917661.png
 
Back
Top Bottom