Rufaa ya Kambi Rasmi ya Upinzani dhidi ya adhabu ya Mdee na Bulaya ni hopeless na ni kupoteza muda

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,280
25,858
Kuna taarifa kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wamekata rufaa kupinga adhabu waliyopewa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya (CHADEMA). Wabunge hao wamefungiwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa kipindi cha miezi kumi. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Toleo la 2013, Wabunge hao watapokea nusu mshahara na nusu posho kwa kipindi chote cha adhabu yao.

Rufaa hiyo, kama ipo kweli, ni hopeless, kupoteza muda na haitafanikiwa. Kuna sababu mbili za kisheria na kiuhalisia. Kwanza, Kanuni za Bunge hazina neno 'rufaa' au 'rufani'. Yaani, hakuna suala la rufaa kwa jambo lolote linaloamuliwa na Bunge (niko tayari kurekebishwa). Katika adhabu zinazotolewa na Bunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 74 ya Kanuni za Bunge, hakuna rufaa inayozungumziwa.

Kukosekana kwa kifungu maalum katika Kanuni za Bunge kinachohusu rufaa dhidi ya adhabu kwa Wabunge ni pengo kubwa kisheria katika kuwasilishwa, kusikilizwa na kuamuliwa kwa rufaa hiyo inayosemwa kuwasilishwa. Bunge, au Mamlaka iliyopelekewa rufaa, haliwezi kuwa 'moved' kuifanyia kazi rufaa hiyo kwakuwa hakuna kifungu kinachoruhusu hilo.

Kiuhalisia, Mamlaka zote za Kibunge yaani Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge walishiriki katika mchakato mzima wa kufikia uamuzi huo dhidi ya akina Mdee. Ndiyo kusema, mamlaka zote za Kibunge haziko 'huru' kupokea na kusikiliza rufaa hiyo na kuitolea uamuzi wa haki. La nyongeza ni kuwa wote wanatoka chama kimoja-chama tawala.

Katika hali kama hiyo, it is advisable to resort to judicial review as opined by Hon. Tundu Lissu if deemed necessary. Kwa Bungeni, mambo hayo yalishaisha.
 
Nadhani ni wakatio muafaka kwa wanasheria wakiongozwa na MAHAKAMA ifanye kitu kwenye hili la bunge,kwa maana kwamba kuna kesho ambako kwa sababu ya wingi wa wabunge wa CCM watawatoa nje wabunge wote wa upinzani kwa sababu zisizo na mshiko kama ilivyokwenye hili la akina Mdee.

Pili yumkini chuki ya mbunge mmoja inaweza ikafanya pia mhimili wabunge ukafanya kama alivyofanya Ndugai.

Nilimuangalia Ndugai kwa umakini sana,tatizo si kosa la akina Mnyika/Mdee/au Bulaya,nilivyoona kuna zaidi ya kosa,kuna CHUKI na KISASI kilichopitiliza.

Ukiona mtu mzima mwenye nafasi ya madaraka akaongea kama NDUGAI hakika kama TAIFA hatuko salama kabisa.Anaweza akaamuru ndani ya BUNGE mpige risasi huyu,na kaamrisha wafute kila kitu kilichorekodiwa na kusema ilikuwa bahati mbaya.

Kutokana na kauli ya NDUGAI wabunge waupinzani hawakao salama kabisa
 
Tatizo ni kwa vile wabunge wa upinzani wamekuwa Kama yatima asiyekuwa na mtetezi, pamoja na kuwepo kanuni Kama hizo kwani kanuni hizo zimekuwa Kama Mungu ambaye habadilishwi?mbona tumeshuhudia Mara nyingi kanuni zikivunjwa kwa ajili ya kupisha jambo fulani lifanyike/lihalarishwe Kama ambavyo ilishawahi kufanyika kwa ajili ya kumuruhusu rais wa Zanzibar kuwepo bungeni,tatizo siyo kanuni tatizo ni kwa sababu ni wabunge wa upinzani.
 
Kuna taarifa kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wamekata rufaa kupinga adhabu waliyopewa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya (CHADEMA). Wabunge hao wamefungiwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa kipindi cha miezi kumi. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Toleo la 2013, Wabunge hao watapokea nusu mshahara na nusu posho kwa kipindi chote cha adhabu yao.

Rufaa hiyo, kama ipo kweli, ni hopeless, kupoteza muda na haitafanikiwa. Kuna sababu mbili za kisheria na kiuhalisia. Kwanza, Kanuni za Bunge hazina neno 'rufaa' au 'rufani'. Yaani, hakuna suala la rufaa kwa jambo lolote linaloamuliwa na Bunge (niko tayari kurekebishwa). Katika adhabu zinazotolewa na Bunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 74 ya Kanuni za Bunge, hakuna rufaa inayozungumziwa.

Kukosekana kwa kifungu maalum katika Kanuni za Bunge kinachohusu rufaa dhidi ya adhabu kwa Wabunge ni pengo kubwa kisheria katika kuwasilishwa, kusikilizwa na kuamuliwa kwa rufaa hiyo inayosemwa kuwasilishwa. Bunge, au Mamlaka iliyopelekewa rufaa, haliwezi kuwa 'moved' kuifanyia kazi rufaa hiyo kwakuwa hakuna kifungu kinachoruhusu hilo.

Kiuhalisia, Mamlaka zote za Kibunge yaani Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge walishiriki katika mchakato mzima wa kufikia uamuzi huo dhidi ya akina Mdee. Ndiyo kusema, mamlaka zote za Kibunge haziko 'huru' kupokea na kusikiliza rufaa hiyo na kuitolea uamuzi wa haki. La nyongeza ni kuwa wote wanatoka chama kimoja-chama tawala.

Katika hali kama hiyo, it is advisable to resort to judicial review as opined by Hon. Tundu Lissu if deemed necessary. Kwa Bungeni, mambo hayo yalishaisha.

Ndiyo hapo ujue chadema mnaongozwa na less intelligent people, kutumia muda na nguvu nyingi kwenye jambo ambalo matokeo yake yanajulikana, mnanikumbusha mlivyokuwa mnamsubiria Spika Ndugai arudi ktk India ili muungane na Wabunge wa CCM kumuondoa Raisi wa JMTZ, sasa hvi Spika Ndugai huyo huyo amegeuka adui.
 
Tanzania hakuna Bunge,kuna maigizo ya Bunge.

Huwezi kuwa na Bunge linaongozwa na mtu bogus kama Job Ndugai.

Scandal yake ya kumpiga mtu bakora katika kampeni za uchaguzi tu ilitakiwa kum disqualify kuwa mbunge, sembuse Spika wa Bunge.

Sasa ukishaanzia na Bunge lenye Spikakamahuyo unategemea nini?

Ndiyo maana Magufuli analinyanyasa kijinsia na kulila hili Bungewiti anavyotaka.
 
Ndiyo hapo ujue chadema mnaongozwa na less intelligent people, kutumia muda na nguvu nyingi kwenye jambo ambalo matokeo yake yanajulikana, mnanikumbusha mlivyokuwa mnamsubiria Spika Ndugai arudi ktk India ili muungane na Wabunge wa CCM kumuondoa Raisi wa JMTZ, sasa hvi Spika Ndugai huyo huyo amegeuka adui.
Mkuu,hebu acha kunijumuisha kwenye uvyama. Uwe unaelewa.
 
Kuna taarifa kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wamekata rufaa kupinga adhabu waliyopewa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya (CHADEMA). Wabunge hao wamefungiwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa kipindi cha miezi kumi. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Toleo la 2013, Wabunge hao watapokea nusu mshahara na nusu posho kwa kipindi chote cha adhabu yao.

Rufaa hiyo, kama ipo kweli, ni hopeless, kupoteza muda na haitafanikiwa. Kuna sababu mbili za kisheria na kiuhalisia. Kwanza, Kanuni za Bunge hazina neno 'rufaa' au 'rufani'. Yaani, hakuna suala la rufaa kwa jambo lolote linaloamuliwa na Bunge (niko tayari kurekebishwa). Katika adhabu zinazotolewa na Bunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 74 ya Kanuni za Bunge, hakuna rufaa inayozungumziwa.

Kukosekana kwa kifungu maalum katika Kanuni za Bunge kinachohusu rufaa dhidi ya adhabu kwa Wabunge ni pengo kubwa kisheria katika kuwasilishwa, kusikilizwa na kuamuliwa kwa rufaa hiyo inayosemwa kuwasilishwa. Bunge, au Mamlaka iliyopelekewa rufaa, haliwezi kuwa 'moved' kuifanyia kazi rufaa hiyo kwakuwa hakuna kifungu kinachoruhusu hilo.

Kiuhalisia, Mamlaka zote za Kibunge yaani Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge walishiriki katika mchakato mzima wa kufikia uamuzi huo dhidi ya akina Mdee. Ndiyo kusema, mamlaka zote za Kibunge haziko 'huru' kupokea na kusikiliza rufaa hiyo na kuitolea uamuzi wa haki. La nyongeza ni kuwa wote wanatoka chama kimoja-chama tawala.

Katika hali kama hiyo, it is advisable to resort to judicial review as opined by Hon. Tundu Lissu if deemed necessary. Kwa Bungeni, mambo hayo yalishaisha.
mkuu, mimi siyo mwanasheria lakini kwa kutumia lay logic tu nadhani hatua ya kukata rufaa ndani ya bunge ni muhimu sana kwa ajili ya kuuanika hadharani huu udhaifu ambao, correctly, umeuita hapo juu kama "Kukosekana kwa kifungu maalum katika Kanuni za Bunge kinachohusu rufaa dhidi ya adhabu kwa Wabunge ni PENGO kubwa kisheria".

hapo penye "pengo" ndiyo pa kuanzia kutibu chanzo cha ugonjwa.
who knows....mjadala utakaotokea bungeni wakati wa kujadili rufaa unaweza ku-trigger something. hilo moja.

pili, je ina maana bunge ni la hovyo kiasi hicho hata a very simple protocol ya "natural justice" washindwe kuizingatia?
i mean, mkuu, unaweza kutusaidia kwa lugha nyepesi kabisa.. ni excuse gani itatolewa na bunge juu ya "natural justice" kutokuzingatiwa??

of course, judicial review could be a necessity eventually.... lakini hii hatua ya kuanzia bungeni mimi naona ina umuhimu wake kwa muktadha nilioutaja.
 
Kwenye points zako naomba niongezee hili:Je haiwezekani kwa RAIA kuanzisha huu mchakato?Kwamba Wananchi wanapinga kinachofanywa na uongozi wa Bunge??

Hope wanasheria sasa ni kazi yao kutuelimisha njia za kuchukua pale inapotokea issue kama hizi
 
Kuna taarifa kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wamekata rufaa kupinga adhabu waliyopewa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya (CHADEMA). Wabunge hao wamefungiwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa kipindi cha miezi kumi. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Toleo la 2013, Wabunge hao watapokea nusu mshahara na nusu posho kwa kipindi chote cha adhabu yao.

Rufaa hiyo, kama ipo kweli, ni hopeless, kupoteza muda na haitafanikiwa. Kuna sababu mbili za kisheria na kiuhalisia. Kwanza, Kanuni za Bunge hazina neno 'rufaa' au 'rufani'. Yaani, hakuna suala la rufaa kwa jambo lolote linaloamuliwa na Bunge (niko tayari kurekebishwa). Katika adhabu zinazotolewa na Bunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 74 ya Kanuni za Bunge, hakuna rufaa inayozungumziwa.

Kukosekana kwa kifungu maalum katika Kanuni za Bunge kinachohusu rufaa dhidi ya adhabu kwa Wabunge ni pengo kubwa kisheria katika kuwasilishwa, kusikilizwa na kuamuliwa kwa rufaa hiyo inayosemwa kuwasilishwa. Bunge, au Mamlaka iliyopelekewa rufaa, haliwezi kuwa 'moved' kuifanyia kazi rufaa hiyo kwakuwa hakuna kifungu kinachoruhusu hilo.

Kiuhalisia, Mamlaka zote za Kibunge yaani Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge walishiriki katika mchakato mzima wa kufikia uamuzi huo dhidi ya akina Mdee. Ndiyo kusema, mamlaka zote za Kibunge haziko 'huru' kupokea na kusikiliza rufaa hiyo na kuitolea uamuzi wa haki. La nyongeza ni kuwa wote wanatoka chama kimoja-chama tawala.

Katika hali kama hiyo, it is advisable to resort to judicial review as opined by Hon. Tundu Lissu if deemed necessary. Kwa Bungeni, mambo hayo yalishaisha.
Eti Rufaa !!!
 
We unavyoona bwana ndugai amefanya sahihi???
 
Nadhani ni wakatio muafaka kwa wanasheria wakiongozwa na MAHAKAMA ifanye kitu kwenye hili la bunge,kwa maana kwamba kuna kesho ambako kwa sababu ya wingi wa wabunge wa CCM watawatoa nje wabunge wote wa upinzani kwa sababu zisizo na mshiko kama ilivyokwenye hili la akina Mdee.

Pili yumkini chuki ya mbunge mmoja inaweza ikafanya pia mhimili wabunge ukafanya kama alivyofanya Ndugai.

Nilimuangalia Ndugai kwa umakini sana,tatizo si kosa la akina Mnyika/Mdee/au Bulaya,nilivyoona kuna zaidi ya kosa,kuna CHUKI na KISASI kilichopitiliza.

Ukiona mtu mzima mwenye nafasi ya madaraka akaongea kama NDUGAI hakika kama TAIFA hatuko salama kabisa.Anaweza akaamuru ndani ya BUNGE mpige risasi huyu,na kaamrisha wafute kila kitu kilichorekodiwa na kusema ilikuwa bahati mbaya.

Kutokana na kauli ya NDUGAI wabunge waupinzani hawakao salama kabisa

Pia nilichokiona kutokana na kauli za Ndugai nimezifananisha na kauli za mkulu kwamba ukishakuwa na madaraka yoyote kwa sasa ndani ya nchi hii unaweza kufanya au kuamua lolote kulingana na kiwango cha hisia zako bila kujali kanuni, sheria wala katiba inasemaje. Na wakati huo huo mamlaka nyingine zote zikakaa kimya kutimiza kila kinachotafsiriwa kama sasa ni wakati wa kazi na wala sio wakati wa kuchekacheka!!! Tabia hii inayoanza kujengeka kwa kasi ndani ya nchi hii imekuwa kama ndio kionjo cha mkuu wa nchi ambaye kila kinachofanyika kinatakiwa kishabihiane na utashi na tabia zake. Jaribu kuangalia kiongozi yoyote ndani ya nchi katika awamu hii anaweza kufanya lolote hasa la kumkomoa au kumdhalilisha yoyote ama kundi, ama taasisi yoyote ambaye kwa mtazamo wa rais ni mtu anayempinga au asiyekubaliana naye. Na nyuma ya pazia mkuu wa nchi roho yake ikawa kwatu kabisa kwani eti hiyo ndio nchi isiyo ya kuchekacheka kama ilivyokuwa ya JK bali ya hapa kazi tu!! Ogopa sana unaposikia mtu kama spika eti naye anasema yuko tayari nchi iingie kwenye mgogoro wa kikatiba kisa alikasirika sana wabunge wa upinzani kutokubalina na amri yake iliyojaa jazba na chuki ya wazi.
 
Kuna taarifa kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wamekata rufaa kupinga adhabu waliyopewa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya (CHADEMA). Wabunge hao wamefungiwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa kipindi cha miezi kumi. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Toleo la 2013, Wabunge hao watapokea nusu mshahara na nusu posho kwa kipindi chote cha adhabu yao.

Rufaa hiyo, kama ipo kweli, ni hopeless, kupoteza muda na haitafanikiwa. Kuna sababu mbili za kisheria na kiuhalisia. Kwanza, Kanuni za Bunge hazina neno 'rufaa' au 'rufani'. Yaani, hakuna suala la rufaa kwa jambo lolote linaloamuliwa na Bunge (niko tayari kurekebishwa). Katika adhabu zinazotolewa na Bunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 74 ya Kanuni za Bunge, hakuna rufaa inayozungumziwa.

Kukosekana kwa kifungu maalum katika Kanuni za Bunge kinachohusu rufaa dhidi ya adhabu kwa Wabunge ni pengo kubwa kisheria katika kuwasilishwa, kusikilizwa na kuamuliwa kwa rufaa hiyo inayosemwa kuwasilishwa. Bunge, au Mamlaka iliyopelekewa rufaa, haliwezi kuwa 'moved' kuifanyia kazi rufaa hiyo kwakuwa hakuna kifungu kinachoruhusu hilo.

Kiuhalisia, Mamlaka zote za Kibunge yaani Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge walishiriki katika mchakato mzima wa kufikia uamuzi huo dhidi ya akina Mdee. Ndiyo kusema, mamlaka zote za Kibunge haziko 'huru' kupokea na kusikiliza rufaa hiyo na kuitolea uamuzi wa haki. La nyongeza ni kuwa wote wanatoka chama kimoja-chama tawala.

Katika hali kama hiyo, it is advisable to resort to judicial review as opined by Hon. Tundu Lissu if deemed necessary. Kwa Bungeni, mambo hayo yalishaisha.
Pamoja na kanuni za bunge toleo la 17 katiba ya nchi, sheria mbalimbali na "mila desturi na tamaduni mbalimbali za mabunge ya jumuia ya madola" pia hutumika katika khliendesha bunge.
Swali kwa wakili msomi
Je hakuna njia yeyote ya the agrived party ku appeal au revision?
a)kwa bunge lenyewe
b)mahakama
c)maridhiano(kama kuna nia njema)
natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Ndiyo hapo ujue chadema mnaongozwa na less intelligent people, kutumia muda na nguvu nyingi kwenye jambo ambalo matokeo yake yanajulikana, mnanikumbusha mlivyokuwa mnamsubiria Spika Ndugai arudi ktk India ili muungane na Wabunge wa CCM kumuondoa Raisi wa JMTZ, sasa hvi Spika Ndugai huyo huyo amegeuka adui
Ofcoz CDM ni vilaza balaa
CCM imejaa wabunge wenye ufahamu wa juu kama King Musukuma, kibajaji na wengine wengi kujaza timu yetu pendwa ya chama dola.
 
Kuna taarifa kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wamekata rufaa kupinga adhabu waliyopewa Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya (CHADEMA). Wabunge hao wamefungiwa kuhudhuria vikao vya Bunge kwa kipindi cha miezi kumi. Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Toleo la 2013, Wabunge hao watapokea nusu mshahara na nusu posho kwa kipindi chote cha adhabu yao.

Rufaa hiyo, kama ipo kweli, ni hopeless, kupoteza muda na haitafanikiwa. Kuna sababu mbili za kisheria na kiuhalisia. Kwanza, Kanuni za Bunge hazina neno 'rufaa' au 'rufani'. Yaani, hakuna suala la rufaa kwa jambo lolote linaloamuliwa na Bunge (niko tayari kurekebishwa). Katika adhabu zinazotolewa na Bunge, kwa mujibu wa Kanuni ya 74 ya Kanuni za Bunge, hakuna rufaa inayozungumziwa.

Kukosekana kwa kifungu maalum katika Kanuni za Bunge kinachohusu rufaa dhidi ya adhabu kwa Wabunge ni pengo kubwa kisheria katika kuwasilishwa, kusikilizwa na kuamuliwa kwa rufaa hiyo inayosemwa kuwasilishwa. Bunge, au Mamlaka iliyopelekewa rufaa, haliwezi kuwa 'moved' kuifanyia kazi rufaa hiyo kwakuwa hakuna kifungu kinachoruhusu hilo.

Kiuhalisia, Mamlaka zote za Kibunge yaani Spika, Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge walishiriki katika mchakato mzima wa kufikia uamuzi huo dhidi ya akina Mdee. Ndiyo kusema, mamlaka zote za Kibunge haziko 'huru' kupokea na kusikiliza rufaa hiyo na kuitolea uamuzi wa haki. La nyongeza ni kuwa wote wanatoka chama kimoja-chama tawala.

Katika hali kama hiyo, it is advisable to resort to judicial review as opined by Hon. Tundu Lissu if deemed necessary. Kwa Bungeni, mambo hayo yalishaisha.

Yaani wewe unajifanya unajua sana sheria kuhusu Tundu Lissu:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom