Rufaa ya CCM dhidi ya CUF jimbo la Dimani yatupwa.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,819
49,016
NEC kwa mara nyingine tena imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na mgombea ubunge kupitia CCM bwana Juma Ali Juma dhidi ya mgombea wa CUF Abdulrazak khatib Ramadhan.

Awali mgombea wa CCM aliweka pingamizi kwa msimamizi wa jimbo akidai mgombea wa CUF hakupitishwa na vikao halali vya chama kwa kukosekana sahihi ya mwenyekiti wa chama taifa Prof. Lipumba, pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali na kupelekea kukata rufaa tume ya taifa NEC.

Ushauri wangu, baada ya Lipumba kugonga mwamba kuisaidia CCM kupata ubunge wa mezani, sasa aende Zanzibar akaisaidie CCM majukwaani.
 
kwa hiyo sasa mnaamini NEC inatenda haki....sasa msije hapa mkaanza kusema ooooh tumeibiwa kura na Nec
 
Lipumba is a disgrace in prosperity of democracy of multiparty system in the country
 
Back
Top Bottom