Rufaa katika Bodi ya Mikopo chuo kikuu

SIWISA

Senior Member
Sep 20, 2016
128
27
Katika form ya Rufaa, kuna kipengele baada ya kujaza chuo inahitajika REGISTRATION NUMBER nafanyeje hapo maana chuo bado sijaenda.

Pia katika sababu kuna kipengele cha sababu ukichagua mbele tena unalazimishwa kuchagua sababu na kuatach supporting document, niweke nin wakat mimi sina sababu zaudi ya kukosa mkopo tu?
 
Hapo wanazingua sana mkuu, Ila kinachotakiwa uende chuo ukasajiliwe kwnz ndp uappeal otherwise haiwezekani........
 
Katika form ya Rufaa, kuna kipengele baada ya kujaza chuo inahitajika REGISTRATION NUMBER nafanyeje hapo maana chuo bado sijaenda.

Pia katika sababu kuna kipengele cha sababu ukichagua mbele tena unalazimishwa kuchagua sababu na kuatach supporting document, niweke nin wakat mimi sina sababu zaudi ya kukosa mkopo tu?
Unaweza andikiwa tu barua nzuri kutoka kwa mwenyekiti wa kijiji au mtendaji kata, kukuelezea hali yako na familia yako, hvy kushindwa kuendelea na masomo, hlf anagonga mhuri wake unaiscan kama PDF unaiapload imeisha hy.......
 
Katika form ya Rufaa, kuna kipengele baada ya kujaza chuo inahitajika REGISTRATION NUMBER nafanyeje hapo maana chuo bado sijaenda.

Pia katika sababu kuna kipengele cha sababu ukichagua mbele tena unalazimishwa kuchagua sababu na kuatach supporting document, niweke nin wakat mimi sina sababu zaudi ya kukosa mkopo tu?
Mm mwnyw nilifanya hvy mwaka jana Lkn wakanitupilia baharini, mwaka huu pia nataka nifanye hvyhvy bila kuchoka, huwenda ikawa bahati.........yk.
 
Bodi ya mikopo inaendesha mambo kienyeji sana, they don't even think watu bila mkopo hawasajiliw chuo, alafu wanakwambia registration number
 
Back
Top Bottom