Rudisha picha, video, music, pdf, doc zilizofutwa kwenye hard disk, computer, flash drive au memory Card

McMahoon

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,316
2,000
Hii ni njia rahisi itakayokuwezesha kurudisha data zako kama vile video, photos, music, pdf n.k zilizofutwa kwa bahati mbaya au kuliwa na virusi kwenye computer, hardisk, flash drive au memory card
Kama data zako zimefutika baada ya kupiga windows pia utaweza kuzipata

Muhimu
  • kama data zako zipo kwenye computer, inatakiwa uwe na external hard disk, flash drive au memory card kwa ajili ya kuhifadhia data zako baada ya kufanya recovery.
  • Kama data zako zipo kwenye flash drive, memory card au hard disk, tumia computer kuhifadhia data zako
  • usiweke tena data zingine kwenye partition, flash drive, memory card au hardisk ambayo unataka kufanya data recovery

Namna ya kurudisha data
1. Download Hetman Data Recovery au MiniTool Data Recovery kisha extract kwenye computer yako kwa kutumia Winrar au 7-Zip
2. Fungua Hetman Partition Data Recovery au Minitool kisha chagua partition unayotaka kurudisha data zako
1.png

3. Tick kwenye full analysis kisha bonyeza Next kama inavyoonekana kwenye picha. Inafanya kazi kwenye windows zote mpaka windows 10
2.png

4. Subiri mpaka imalize kuscan
3.png

5. Chagua folder ambalo utazikuta data zako. Ukikosa folder la 1,2, chagua la 3
4.png

Goodluck
Soma zaidi
Rudisha Picha zilizofutika kwenye simu ya Smartphone Android zote
 
Emmanuel Kasomi

Verified Member
Oct 18, 2019
3,131
2,000
Hii ni njia rahisi itakayokuwezesha kurudisha data zako kama vile video, photos, music, pdf n.k zilizofutwa kwa bahati mbaya au kuliwa na virusi kwenye computer, hardisk, flash drive au memory card
Kama data zako zimefutika baada ya kupiga windows pia utaweza kuzipata

Muhimu
  • kama data zako zipo kwenye computer, inatakiwa uwe na external hard disk, flash drive au memory card kwa ajili ya kuhifadhia data zako baada ya kufanya recovery.
  • Kama data zako zipo kwenye flash drive, memory card au hard disk, tumia computer kuhifadhia data zako
  • usiweke tena data zingine kwenye partition, flash drive, memory card au hardisk ambayo unataka kufanya data recovery

Namna ya kurudisha data
1. Download Hetman Data Recovery au MiniTool Data Recovery kisha extract kwenye computer yako kwa kutumia Winrar au 7-Zip
2. Fungua Hetman Partition Data Recovery au Minitool kisha chagua partition unayotaka kurudisha data zako
View attachment 1713538
3. Tick kwenye full analysis kisha bonyeza Next kama inavyoonekana kwenye picha. Inafanya kazi kwenye windows zote mpaka windows 10
View attachment 1713539
4. Subiri mpaka imalize kuscan
View attachment 1713541
5. Chagua folder ambalo utazikuta data zako. Ukikosa folder la 1,2, chagua la 3
View attachment 1713545
Goodluck
Shukurani sana mkuu
 
Dharafu

Member
Dec 24, 2020
9
45
Mkuu what if kama ushafanya windows Installation bado inafanya kazi na unaweza pata data zako??
 
McMahoon

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,316
2,000
Ndiyo. Niliwahi kuinstall linux. Kumbe nilikosea kutengeneza partition kwa ajili ya linux. Ukiwasha computer ina leta ujumbe
'Drive where windows is installed, is locked. Unlock the drive and try again' ukipiga windows inaleta ujumbe huo ikabidi niformat PC yote kwa kutumia CMD ikawa kama nimenunua PC mpya dukani. Kwa kitumia data recovery. Nilizipata data zangu.
Mkuu what if kama ushafanya windows Installation bado inafanya kazi na unaweza pata data zako??
 
That Gentleman

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
811
1,000
Ndiyo. Niliwahi kuinstall linux. Kumbe nilikosea kutengeneza partition kwa ajili ya linux. Ukiwasha computer ina leta ujumbe
'Drive where windows is installed, is locked. Unlock the drive and try again' ukipiga windows inaleta ujumbe huo ikabidi niformat PC yote kwa kutumia CMD ikawa kama nimenunua PC mpya dukani. Kwa kitumia data recovery. Nilizipata data zangu.
Ubuntu ilishawahi nifanyia ujinga huu "create partition automatically " ikafagia kila kitu...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom