rudisha data zilizopotea baada ya kuformat computer yako!!!!!

Msenyele

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
338
86
habari za j2 wanajf!

Kipindi cha nyuma nilikuwa nasoma nyuzi za watu mbalimbali zinazohusu kurudisha data zilizopotea aidha kwa kudelete kwa bahati mbaya, kupotea zenyewe ama zimepotea wakati wa kuformat computer yako. Nami pia limenipata tatizo hili nilipokuwa nabadilisha os jana nikiwa na lengo la hasa la kuweka partition katika hard disk drive. Ikumbukwe kuwa, computer isiyo na partition huwa data zote zinapotea na nilikuwa na kiburi cha kuwa na icare data recovery v5 na easeUS recovery ambazo kumbe zilikuwa ni trial ya kuwa na limited ya idadi ya mafaili ya kurecover na baadae zinataka uweke keys. License keys hasa za icare data recovery nimeshindwa kabisa kuzipata na hivyo nimeomba kupitia katika jukwaa hili muweze kunisaidia aliye na keys zake au anayeweza kunisaidia link ya recovery nyingine ambayo inaweza kunisaidia kurudisha data zangu ni za muhimu sana.

Naomba kuwasilisha! Wikiendi njema.
 
Acha uvivu kwa maana thread za data recoveries zipo nyingi sana. Lakini kama unataka Stella Phonix full, ipakue HAPA.
 
Co kwamba pc ambayo haina partition huwa inafuta data zote noo!
Unaweza uka install kwa kucustomise na co kuupgrade
na baadae mafail yako ya zaman unayakuta ktka file linaitwa windows.old
 
mimi nilishawahi recover data zangu kama 400 GB hivi zote zilirudi ila kuna daadhi zili collapse hasa kwa mp3, videos zikawa hazi play kabisa na software nlizo hifadhi kwenye hiyo hdd. for instance wimbo mmoja unaweza imba nyimbo saba tofauti utasema ni dj mix pia software zilikuwa hazifai tena kwa installation
 
Back
Top Bottom